Kikwete chonde chonde.....waziri wa fedha....

Kikwete chonde chonde.....waziri wa fedha....

Huyo aliyeshindwa ku supply bia tz wakati kiwanda kikiwa kimoja leo ndio unataka kumpa uwaziri wa fedha
huyo aliyeshindwa kufanya chochote tol wakati oryx gas inakuwa kwa kasi ya ajabu

embu tueleze mafanikio yake au dnio uzoefu bila mafanikio
 
Nafamu Kikwete ana watu wake anaowapenda....
na nafahamu ninachojaribu kukisema hapa probably hakitamfikia....

but kama kuna watu humu mnaweza mfikia Kikwete nawaombeni chonde chonde
kwa maslahi ya nchi mshaurini amchague ARNOLD KILEO kuwa waziri wa fedha na uchumi................

wale ambao hamjui cv ya arnold kileo tafadhalini muitafute

Tanzania hii hakuna mtu better na more qualified to run the economy zaidi ya ARNOLD KILEO

CCM watu wa namna hiyo hawatakiwi.

Wewe unadhani kwa nini John Magufuli hakuteuliwa Waziri Mkuu??
 
Being competent in the Business world doesn't gurantee kuwa ni competent kwenye political, national policy world. Though admire the old chap I am sure JK hawezi hata kufikiri kutaka ushauri kwa huyu mzee kwa sababu, huyu mzee ni wale antimafisadi, friends of Cleopa David Msuya, friends of Mengi etc! Na huyu mzee hana njaa ya kumfanya amwangukia Makamba, RA, EL, Ridhiwan, Salma etc. wenye influence na utendaji wa jk.

Hapo Ndg Yangu umenena, ni ngumu sana huyu Bwn kufikiriwa. Watu wanawekwa kwa maslahi binafsi si kwa maslahi ya taifa. Chakachua business. SUBIRI UTAONA VERY SOON.
 
That is a white lie...........................wapo wengi wenye sifa humu nchini.tatizo tutawapataje?

Anatakiwa kuitumia secret service yake; imfanyie vetting ya kutosha kabla ya kumchukua. Presidency is an institution, and it has a clear check list and mechanisms to elect people in power under the power of the president.

Tatizo la mkwere ni mbishi, mbinafsi na anaendekeza uswahiba!!!:whoo:
 
Huyu wa TBL, MMMH! CV yake sawa, je una profile yake kutoka Usalama wa Taifa?

yeye mwenyewe ni usalama wa taifa and some usalama wa taifa guys are in his payroll
 
Kuwa mfungaji bora kwenye ligi kuu ya Tanzania itamfanya mchezaji kusajiliwa na Liverpool.
 
Tz ina utitiri wa watu makini tatizo JK nae huwa anawapotezea bse hapendi challenges
 
Nafamu Kikwete ana watu wake anaowapenda....
na nafahamu ninachojaribu kukisema hapa probably hakitamfikia....

but kama kuna watu humu mnaweza mfikia Kikwete nawaombeni chonde chonde
kwa maslahi ya nchi mshaurini amchague ARNOLD KILEO kuwa waziri wa fedha na uchumi................

wale ambao hamjui cv ya arnold kileo tafadhalini muitafute

Tanzania hii hakuna mtu better na more qualified to run the economy zaidi ya ARNOLD KILEO

Sasa si utuwekee hiyo CV ya Kileo hapa badala ya kutwambia tuitafute.
 
Nafamu Kikwete ana watu wake anaowapenda....
na nafahamu ninachojaribu kukisema hapa probably hakitamfikia....

but kama kuna watu humu mnaweza mfikia Kikwete nawaombeni chonde chonde
kwa maslahi ya nchi mshaurini amchague ARNOLD KILEO kuwa waziri wa fedha na uchumi................

wale ambao hamjui cv ya arnold kileo tafadhalini muitafute

Tanzania hii hakuna mtu better na more qualified to run the economy zaidi ya ARNOLD KILEO

dah... dogo kafuka
 
...........mijitu mingine bana. utadhani sijui inazungumza huku ime.....kule nanihii. katika watanzania million 40 hakuna anayejua kuongoza wizara ya fedha zaidi ya huyo kikongwe??? unaweza kumlinganisha na benno ndulu au ibrahim lipumba? acha hizo...................kwa sababu wamekataza matusi humu. ingekula kwako..............:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
nafamu kikwete ana watu wake anaowapenda....
Na nafahamu ninachojaribu kukisema hapa probably hakitamfikia....

But kama kuna watu humu mnaweza mfikia kikwete nawaombeni chonde chonde
kwa maslahi ya nchi mshaurini amchague arnold kileo kuwa waziri wa fedha na uchumi................

Wale ambao hamjui cv ya arnold kileo tafadhalini muitafute

tanzania hii hakuna mtu better na more qualified to run the economy zaidi ya arnold kileo

profesa lipumba ni zaidi ya kileo!!!!!
 
Kama ana uwezo mshauri ampe shirika kama TTCL au ATCL, uwaziri hapana kwani si mbunge. By the way ukiacha kufanya TBL yeye kama Kileo ni mradi gani amewahi kuanzisha na ukaonyesha mafanikio kama alivyo Mengi?

Huyu mzee alipotoka TBL alipewa kazi kama CEO wa Tanzania Oxygen Ltd ; alipoingia pale aliingia na gia ya kuwa baada ya muda wanahisa wa TOL wangepata gawio , lakini haikuwa hivyo mpaka anastaafu hakuna dividends zozote zilizotolewa na shares za Kampuni hiyo haziwi traded hapo DSE!! Hafai uwaziri wa aina yeyote ile!!
 
Yaani kwa vile aliwahi kuongoza TBL na TOL ndio ameshakuwa mtaalamu wa uchumi na mambo ya fedha kuliko watanzania wote,nafikiri mtoa mada kalewa bia hivyo kaamua kuwasifia wanaoendeleza uzalishaji wa pombe.Hajui tuna watu wengi wameshashika post za maana World Bank na IMF?sembuse kakiwanda ka bia.
 
40 kuunda baraza jipya la mawaziri
BARAZA jipya la mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wiki hii na Rais Jakaya Kikwete linatarajiwa kuwa na mawaziri kati ya 40 na 45, kati yao 23 wakiwa ni mawaziri kamili.Kwa maana hiyo, baraza hilo litakuwa na wizara 23 tu, Mwananchi imedokezwa.Habari ambazo Mwananchin imezipata zinaeleza kuwa katika baraza hilo jipya, ambalo litakuwa la tatu kwa Rais Kikwete tangu alipoingia Ikulu mwaka 2005, waliokuwa manaibu waziri watano katika baraza lililopita, watapandishwa na kuwa mawaziri kamili.

Vyanzo vyetu vya kuaminika vimeeleza kuwa idadi ya mawaziri wanawake itaongezeka kulinganishwa na baraza lililopita na kwamba uteuzi umezingatia umri, uzoefu pamoja na uwiano wa mikoa.Pamoja na kuwepo kwa sura mpya, idadi kubwa ya waliotajwa katika baraza hilo ni wanasiasa wakongwe ambao wengi wao walikuwamo katika baraza lililopita.
Chanzo chetu kimeeleza kuwa Rais Kikwete amekataa kuwapa nafasi ya uwaziri wabunge waliopata ushindi kwa kura chache katika uchaguzi mkuu uliopita.
Miongoni mwa wabunge waliokuwa manaibu kwenye baraza lililopita ni Emmanuel Nchimbi (Songea Mjini) ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Adamu Malima (Mkuranga) aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini na Christopher Chiza (Buyungu) ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji.
Wengine ni Dk David Mathayo (Same Magharibi) aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika pamoja na Balozi Khamis Kagasheki (Bukoba Mjini) aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani.

Habari hizo zinasema kuwa Wizara ya Fedha na Uchumi itaendelea kuwa na manaibu waziri wawili kama ilivyokuwa katika ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya Rais Kikwete.
Mbali na wabunge 27 waliotajwa na gazeti hili jana wengine ambao wametajwa kuwemo kwenye serikali mpya ya Rais Kikwete ni Muhammed Seif Khatibu kutoka Jimbo la Uzini ambaye alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Stephen Wasira(Bunda) aliyekuwa Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, na Hawa Ghasia (Mtwara Vijijini) aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma.

Wengine ni Mustapha Mkulo (Kilosa) aliyekuwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Mathias Chikawe (Nachingwea) aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria pamoja na Aggrey Mwanri (Siha) aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, (Tamisemi).
Wengine ni Bernard Membe (Mtama) ambaye katika serikali iliyopita alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikano wa Kimataifa na Emmanuel Nchimbi (Songea Mjini) ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Mawaziri wengine waliokuwa katika Serikali iliyopita wanaotajwa kurejeshwa katika kipindi hiki cha mwisho cha utawala wa Kikwete ni Ezikeil Maige (Msalala) ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, William Ngeleja (Sengerema) aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, na Celina Kombani (Ulanga Mashariki) ambaye alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi),
Wengine ni Profesa Juma Kapuya (Urambo Magharibi), aliyekuwa Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Profesa Mark Mwandosya (Rungwe Mashariki), ambaye alikuwa Waziri Maji na Umwagiliaji, Dk Hussein Mwinyi (Kwahani), aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Shukuru Kawambwa (Bagamoyo), aliyekuwa Waziri wa Miundombinu na John Magufuli (Chato) ambaye alikuwa Waziri wa Maendeleo Mifugo na Uvuvi.

Wabunge wanaotajwa kuingia katika baraza la mawaziri kwa mara ya kwanza ni Anna Tibaijuka (Muleba Kusini), Samuel Sitta (Urambo Mashariki) na ambaye alikuwa spika wa Bunge la Tisa, Dk Harrison Mwakyembe (Kyela), Anne Kilango (Same Mashariki).
Wengine ni Januari Makamba (Bumbuli) ambaye alikuwa msaidizi wa rais katika awamu ya kwanza ya utawala wa Rais Kikwete, Salehe Pamba (Pangani), Steven Masele (Shinyanga Mjini), Gerson Lwenge (Njombe Magharibi) na Nyambari Nyangwine (Tarime).

Wengine ni Shamsi Vuai Nahodha (mbunge kuteuliwa) na alikuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Angela Mkwizu (Viti Maalum) na Amos Makala (Mvomelo) ambaye ni Mweka Hazina wa CCM, Said Bwanamdogo (Chalinze), Lazaro Nyarandu (Singinda Kaskazini) na Zakia Meghji (wa kuteuliwa).
Chanzo hicho kimebainisha kuwa Rais Kikwete amedhamiria kuunda baraza dogo la mawaziri litakalo kuwa na tija ikilinganishwa na alilounda wakati akiingia madarakani mwaka 2005, ambalo lilikuwa na mawaziri wapatao 60 na ambalo alilivunja Februari 2008 baada ya Edward Lowassa kujiuzulu wadhifa wa Waziri Mkuu.

Lowassa alijiuzulu kutokana na kashfa ya zabuni tata ya ufuaji umeme wa dharura iliyotolewa kwa kampuni ya Richmond.
Hata hivyo, baraza jipya aliloliunda baadaye chini ya Waziri Mkuu mpya, Mizengo Pinda lilikuwa na mawaziri 27 na manaibu mawaziri 21.
Kati ya mawaziri ambao hawatarajiwi kurejea kwenye baraza jipya ni wale walioanguka katika mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM na wengine waliangushwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 31, mwaka huu.
Akilihutubia Bunge Alhamisi iliyopita, Kikwete alidokeza kuunda serikali itakayokuwa na watu waadilifu, makini na wachapakazi hodari.
Pia alisema ataunda serikali ya watu wachache ambao wataondoa urasimu watakaokuwa karibu na wananchi na kushirikiana vizuri na wabunge wote bila kujali vyama vya siasa wanavyotoka.
 
Nafamu Kikwete ana watu wake anaowapenda....
na nafahamu ninachojaribu kukisema hapa probably hakitamfikia....

but kama kuna watu humu mnaweza mfikia Kikwete nawaombeni chonde chonde
kwa maslahi ya nchi mshaurini amchague ARNOLD KILEO kuwa waziri wa fedha na uchumi................

wale ambao hamjui cv ya arnold kileo tafadhalini muitafute

Tanzania hii hakuna mtu better na more qualified to run the economy zaidi ya ARNOLD KILEO
aaah wapi, mtu ana miaka 100 bado tu afae kuwa waziri wa fedha, yaani Tanzania hakuna mtu kama yeye kweli, basi hata yeye hafai kwa kuwa umri wake mkubwa na alishindwa kum-groom mtu afanane naye.
 
Huyo aliyeshindwa ku supply bia tz wakati kiwanda kikiwa kimoja leo ndio unataka kumpa uwaziri wa fedha
huyo aliyeshindwa kufanya chochote tol wakati oryx gas inakuwa kwa kasi ya ajabu

embu tueleze mafanikio yake au dnio uzoefu bila mafanikio

Hafai kabisa : tape:
 
Hafai kabisa
 
Back
Top Bottom