Kikwete chonde chonde.....waziri wa fedha.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete chonde chonde.....waziri wa fedha....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Boss, Nov 22, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Nafamu Kikwete ana watu wake anaowapenda....
  na nafahamu ninachojaribu kukisema hapa probably hakitamfikia....

  but kama kuna watu humu mnaweza mfikia Kikwete nawaombeni chonde chonde
  kwa maslahi ya nchi mshaurini amchague ARNOLD KILEO kuwa waziri wa fedha na uchumi................


  wale ambao hamjui cv ya arnold kileo tafadhalini muitafute

  Tanzania hii hakuna mtu better na more qualified to run the economy zaidi ya ARNOLD KILEO
   
 2. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani naye yumo kwenye mtandao? Kama hayupo usipoteze muda kuota
   
 3. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  nadhani anaweza kufaa, kwa sababu kasimamia TBL kwa muda mrefu... anaweza kuwa na mawazo mapya
   
 4. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Anord Kilewo ni mbunge wa wapi?
   
 5. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145

  Huyu wa TBL, MMMH! CV yake sawa, je una profile yake kutoka Usalama wa Taifa?
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  He is too old jamani........................
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  That is a white lie...........................wapo wengi wenye sifa humu nchini.tatizo tutawapataje?
   
 8. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  1. Aiseee, yaani wewe umewachunguza watanzania wote ukaona huyu mzee ndo anafaa zaidi wa watanzania wote??? Haya sasa ni masihara, ningependa kujua namna ulivyofanya upembuzi wako maana mimi nae ni mtalaamu sana wa mambo ya fedha na naweza kuwa waziri zaidi ya huyo mzee

  2. Nani kakwambia JK anatafuta watu makini katika nafasi makini?? ukimweka mtu makini wizara ya fedha mzee mzima atapata taabu sana kuidhinishiwa fedha za kwenda kuzurula ulaya. Watu makini hawana nafasi kwenye serikali ya JK. Walio makini anatafuta namna ya kuwaondoa (eg Mzee 6)
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kama ana uwezo mshauri ampe shirika kama TTCL au ATCL, uwaziri hapana kwani si mbunge. By the way ukiacha kufanya TBL yeye kama Kileo ni mradi gani amewahi kuanzisha na ukaonyesha mafanikio kama alivyo Mengi?
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  jamaa alikuwa anatoa maoni yake kwa maendeleo ya nchi lakini kama hayatasikilizwa nadhani pia akubali tuu! Hata mimi ningependa jk akubali kumuweka mtu makini hapo!
   
 11. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  we umetumwa??
   
 12. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Vumbi tupu!
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  nataka nikuamini, lakini najua hilo ni swali tu
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  huo ni mtazamo wako lakini kumbuka kwamba CV sio kigezo pekee cha mafanikio au uzalendo wapo maprofesa kama Mhalu wako akina chenge wote ni wasomi lakini jamii haiwaoni hivyo. Kumbuka pia kwamba kama kileo alifanikiwa sana alipokuwa TBL na kwingineko sio lazima akafanikiwa katika siasa, kwa mfano Charles Keenja alifanikiwa sana wakati wa tume ya jiji la Dar es salaam lakini hakufanikiwa zaidi alipokuwa waziri.

  Mimi nashauri tusimchagulie Rais viongozi lakini tuna wajibu wa kuhoji uteuzi kulingana na ukweli tunaoufahamu juu ya wateule hao ingawa pia tuepuke majungu.Timu za mpira za Ulaya zinapoajiri kocha hazimpangii wachezaji. Timu ya ushindi inapangwa na kocha mwenyewe ni hivyo hivyo kwa MaRais wao.

  Mcahngo wangu katika hili hauna maana kwamba zitambui uwezo wa mzee kileo hapana.
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kwanini mnaumiza vichwa vyenu wakati kila kitu kiko dhahiri! The writting is already on the wall. Piga ua Waziri wa fedha is either Mustapha Mkuro au Mama Zakia Meghji.

  You don't need to be a rocket scientist to figure out this, unless you're not living in Bongo land. BTW nani alikwambia huku Bongo mawaziri wanachaguliwa kwa kufuata sifa, uwezo na umakini wao. You must be an optuse person living in different world.
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Being competent in the Business world doesn't gurantee kuwa ni competent kwenye political, national policy world. Though admire the old chap I am sure JK hawezi hata kufikiri kutaka ushauri kwa huyu mzee kwa sababu, huyu mzee ni wale antimafisadi, friends of Cleopa David Msuya, friends of Mengi etc! Na huyu mzee hana njaa ya kumfanya amwangukia Makamba, RA, EL, Ridhiwan, Salma etc. wenye influence na utendaji wa jk.
   
 17. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,857
  Trophy Points: 280
  Nani alikwambia JK anapokea ushauri nje ya wale watu watatu au familia yake? Ili ushauri wako usikilizwe, upitishie kwa RA aau EL
   
 18. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  It sounds CRAZY.......BUT TRUE
   
 19. b

  bob giza JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una undugu na kileo eehh..naona umeanza kupiga debe taratibu..nani alikwambia kileo ndo pekee anafaa?? ina maana wewe unawajua wasomi wooote bongo wa mambo ya uchumi na fedha si ndio?? acha kuwanga kweupe isee subiri angalau kagiza kaingie sawa mkuu!!
   
 20. b

  bob giza JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekugongea mkuu..nime do the needful.well said
   
Loading...