Halafu nyie wadanganyika nani amewaloga?. Kama anatibiwa na huduma zinasimama kwa watanzania WOTE si afadhali aende nje ya nchi?????????? wanakufa wangapi kwa humduma kusimama ili atibiwe yeye pekee yake!!
Je maisha ya watanzania elfu ni sawa na Rais pekee yake jamani??, labda kwenye vita tu!
Unafikiri Obama akienda hospitali yoyote hakuna huduma zinzzosimama?? Tuache kuropoka tu haya mambo yapo sehemu nyingi.