Kikwete Atibiwa Muhimbili: Mfano mzuri, for a change!

Eti kiwete atibiwa Muhimbili !!!!Hivi kweli wabongo wamekuwa mabunuwasi kiasi hichi ?hata akili zinakuwa zipo na uvivu wa kufukiria ?poleni sana endeleni hivyo hivyo.
Mkuu wajinga ndio waliwao washasahau tezi dume ilikuwa muhimbili
 
Ndugu huyu ndo Kiongozi mstafu tuyetakiwa tumwombee tusifananishe na wengine ambao wanaishi kwa ajili ya ya Familia zao.
Kadri siku zinavyosonga tutayakubali haya tujaribu kuangalia tawala zilizopita pita sanasana nitakumbuka mbili Mwinyi na Kikwete basi tuangalie lile la kweli apewe mtu husika
 
Kwani aliyesema Tanzania hakuana Madaktari nani? mnazusha zusha tu, Chadema walisema hawana imani na Serikali sio Madaktari, na wamepongeza kazi kubwa iliyofanyika na Madaktari wa Dodoma, walisema kabisa bila huduma Nzuri pale Dododma asingefika Nairobi. Sasa hayo ya kusema Raisi Dactari wake ni Mtanzania yanakujaje majuha nyie? Hukohuko Nairobi mlituma wauwaji wakaonekana, ingekuwa Muhimbili si mngesha muua? Kama wanataka waombwe wasubiri.
 
Red brigade ingeshindwa kutoa ulinzi Muhimbili?
Mkibanwa mnaruka hoja...mara mseme ni huduma mara mseme ni usalama!
Proper channel ilikuwa ni kwenda MOI na kama ingeonekana hapatoshi angekuwa kesharushwa US au German.
 
Uchunguzi ulianzia Muhimbili na Muhimbili ndiyo waliomshauri kwenda US kwa uchunguzi zaidi

Hahahahahahah huyo hakufika hata Muhimbili usidanganye watu.Hivi mnadhani ahwa watanzania ni wale wa 1947 au??Hebu tuheshimuni basi hata kidogo.Upumbavu wenu umalizieni huko Lumumba.Hivi asiyejua nani hiyo Episode yenu ya Lugalo??Alifika Muhimbili lini??

Kwa mtu kama Waziri wa Afya asingehata toa sauti.Wakati mwingine muwe mnawaambia ukweli maisha yapo hata baada ya dunia hii
 
Ninavyokumbuka daktari wa Jk alikuwa na bado ni muajiriwa wa Muhimbili.
 
Back
Top Bottom