Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Blantyre ,Malawi leo jioni kuhushuria Mazishi ya Profesa Bingu wa Mutharika, aliyekuwa Rais wa Malawi., aliyefariki tarehe 5 April, 2012 Kufuatia matatizo ya Moyo. Rais Kikwete ni miongoni mwa Viongozi wakuu Saba kutoka nchi jirani na Malawi.
Ukiona Rais haoni aibu kujianika na mawaziri ambao wana kashfa nzito katika utendaji licha ya kushinikizwa na Bunge la nchi ambalo ndiyo sauti ya wananchi hapo kuna tatizo.