Kikwete anavyotamba na mawaziri wanaotakiwa kujiuzuri nchi za nje

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
1.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Blantyre ,Malawi leo jioni kuhushuria Mazishi ya Profesa Bingu wa Mutharika, aliyekuwa Rais wa Malawi., aliyefariki tarehe 5 April, 2012 Kufuatia matatizo ya Moyo. Rais Kikwete ni miongoni mwa Viongozi wakuu Saba kutoka nchi jirani na Malawi.​

Ukiona Rais haoni aibu kujianika na mawaziri ambao wana kashfa nzito katika utendaji licha ya kushinikizwa na Bunge la nchi ambalo ndiyo sauti ya wananchi hapo kuna tatizo.
 
Mambo mazito na makubwa yanayotokea nchini hata hatari ya yeye kupewa kadi nyekundu kama baadhi ya mawaziri wake lakini anatoka kivua mbele hivyo huko, huyu hana haya kabisa, bongo lake la pekee, maana mie ningetafuta pa kuficha taswira yangu. Raha ukishazizoea hupofusha.
 
Wanajuana, na hapo wameenda kupanga mikakati, hapa nyumbani hapatoshi
 
Ana brain atrophy due IDS hana shida, anatembea kote huko kujenga afya akikaa hapa anaona atakfa fasta
 
Hii sio pic ya Malawi, imepigwa hapa hapa Bongo na ilipigwa zamani kidogo. Ndio maana kuna Mkuu wa Mkoa wa Dar na pia Malima na Ngeleja wako hapo, hawezi kusafiri nao wote wawili kwenye trip moja.
 
Hii sio pic ya Malawi, imepigwa hapa hapa Bongo na ilipigwa zamani kidogo. Ndio maana kuna Mkuu wa Mkoa wa Dar na pia Malima na Ngeleja wako hapo, hawezi kusafiri nao wote wawili kwenye trip moja.

Thanks

Ila huyo dada hapo ni nani??
 
Wabongo siku hizi hawakawii kukuambia ni style ya "ki-Freemason".

LOL ... kwa kweli siku hizi swala la Freemason imekuwa ni issue, kila kukija iko kwenye magazeti na mitandao, sasa naona na magazeti ya dini nayo yameanza kuijadili ... kaazi kweli kweli.
 
1.jpg

rais jakaya mrisho kikwete amewasili mjini blantyre ,malawi leo jioni kuhushuria mazishi ya profesa bingu wa mutharika, aliyekuwa rais wa malawi., aliyefariki tarehe 5 april, 2012 kufuatia matatizo ya moyo. Rais kikwete ni miongoni mwa viongozi wakuu saba kutoka nchi jirani na malawi.​

ukiona rais haoni aibu kujianika na mawaziri ambao wana kashfa nzito katika utendaji licha ya kushinikizwa na bunge la nchi ambalo ndiyo sauti ya wananchi hapo kuna tatizo.

candid scope wa 'honest to my country' hapo sio malawi, ni tanzania!
 
Back
Top Bottom