maringomashaka
Member
- May 22, 2011
- 16
- 8
Sio Reginald Mengi, ni Benjamin Mengi, inahusiana na kisa uwekezaji kwenye mradi wa shamba la Silvadale, ambapo Waingereza wawili, mtu na mkewe, Middletons, waliingia ubia na Benjamin Mengi kuwa watawekeza kwenye mradi huo. Benjamini alipoona kuwa sio wawekezaji wa ukweli, bali wanawekeza kwa kusua sua, akawatimulia mbali, kila kitu akabaki nacho.THIS AFTERNOON NILIKUWA NAFUATILIA KIKAO CHA BUNGE LA UK (HOUSE OF COMMONS), BUNGE LA UK LIMEPENDEKEZA KUJADILI "Danger of UK to Invest in Tanzania" KWASABABU YA HIYO ISSUE YA JK NA MENGI, Waziri wa mambo ya nje akaahidi kufuatilia through commonwealth office, so sikupata details. Kama kuna mkereketwa yoyote ana details kuhusu hili sakata, KINDLY WOULD YOU PLEASE SHARE WITH US?
Sio Reginald Mengi, ni Benjamin Mengi, inahusiana na kisa uwekezaji kwenye mradi wa shamba la Silvadale, ambapo Waingereza wawili, mtu na mkewe, Middletons, waliingia ubia na Benjamin Mengi kuwa watawekeza kwenye mradi huo. Benjamini alipoona kuwa sio wawekezaji wa ukweli, bali wanawekeza kwa kusua sua, akawatimulia mbali, kila kitu akabaki nacho.
Wazungu hao wakapeleka kilio chao kila mahali mpaka mahakamani, kesi mpaka leo inapigwa kalenda.
Ila kama ni kweli, Tanzania investment potential, inataka kupigwa biti na just one isolation case, then Uingereza, haitutendei haki. Tumejikuta tuinyenyekea sana kwa sababu ni former colonial masters wetu, its about time, tuachane nao, waende zao, tuite wawekezaji wa China, ni cheaper, more efficient na tutastrike a better deal.
Waende zao!.

shamba la Silvadale, Tusaidiane ili tujue hilo shamba liko wapi? Yaani kwa ujumla ongeza nyama. Nime google sijapata la kunisaidia. Msaada tafadhali
ila wachina wenyewe wawe wa ukweli siyo kama wale wa masaburi fake!!Kweli kabisa mkuu, waende zao.
Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.
Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.
Hao wachina wanakutengenezea gari jipya siku mbili linachomoka tairi
Kweli nchi hii haina viongozi wala watakaokuwa viongozi kila mtu anaendekeza uwekezaji tu bul shaitKweli kabisa mkuu, waende zao.
Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.
Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.
Kweli kabisa mkuu, waende zao.
Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.
Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.
Acha uvivu wa kufikiri thibitisha kama Mohamed Trans, Deluxe, "Treni ya Dodoma" Mv Bukoba, Spice Islanders kwa kutaja machache, je yametengenezwa na wachina?
Angalia magari aina ya Jiefang, Great wall, Faw na maroli wanayotumia kutengeneza barabara, je, mangapi yanapata ajali za hovyo kama ulivyosema?
Sawa lakini hapo unakosea maana wachina hawafai, bora hata wakenya
waingereza ni wanafiki.... Ni sinking sheep na sasa wanatumia serikali yao kulazimisha ubia na nchi masikini kwani everywhere they go wanaishia kufeli kutokana na attitude na culture yaosio reginald mengi, ni benjamin mengi, inahusiana na kisa uwekezaji kwenye mradi wa shamba la silvadale, ambapo waingereza wawili, mtu na mkewe, middletons, waliingia ubia na benjamin mengi kuwa watawekeza kwenye mradi huo. Benjamini alipoona kuwa sio wawekezaji wa ukweli, bali wanawekeza kwa kusua sua, akawatimulia mbali, kila kitu akabaki nacho.
Wazungu hao wakapeleka kilio chao kila mahali mpaka mahakamani, kesi mpaka leo inapigwa kalenda.
Ila kama ni kweli, tanzania investment potential, inataka kupigwa biti na just one isolation case, then uingereza, haitutendei haki. Tumejikuta tuinyenyekea sana kwa sababu ni former colonial masters wetu, its about time, tuachane nao, waende zao, tuite wawekezaji wa china, ni cheaper, more efficient na tutastrike a better deal.
Waende zao!.
...Bora lichomoke tairi upone. Unaweza kufa vibaya. Hebu google majaribio ya ajali kwa magari ya China uone jinsi yalivyo kama karatasi.Hao wachina wanakutengenezea gari jipya siku mbili linachomoka tairi