Kikwete anamaliza CCM mwekeni pembeni

Kikwete anamaliza CCM mwekeni pembeni

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine.

Msishangae yule Mama Samia wa 2021-2022 yuko wapi ametekwa na team kikwete . Yeye anataka tu awaache familia yake na ndugu zake kwenye mikataba ya bandari, gas na miradi mingine hajali nchi wala nini

Mama ajue akianza kurudi kwenye maridhiano huyu kukwete na mafia yake msije kushangaa wanasema Mama kaugua ghafla na hawezi kuendelea na Uraisi ili waweke watu wao. Yaani hii nchi imetekwa
 
Nilikuwa soko la Tandale kununua bidhaa za jumla mazungumzo ni Msoga ,Msoga,Msoga.
Huyu mtu apumzike ale mafao yake na mkewe Kwa amani kwenye mahekalu yake alojengewa na serikali.
Kama tetesi za uwekezaji Australia ni za kweli aende zake huko kwa wanawe.
 
Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine.

Msishangae yule Mama Samia wa 2021-2022 yuko wapi ametekwa na team kikwete . Yeye anataka tu awaache familia yake na ndugu zake kwenye mikataba ya bandari, gas na miradi mingine hajali nchi wala nini
Kwa kweli
 
CCM ina malizwa kivipi ? Kwani kwa mazingira ya siasa yalivyo hapa tz nani wakuwatoa. Issue ya msingi ni kwamba wazalendo wa kweli ndani ya CCM kuhakikisha wanakuwa united kuhakikisha misingi ya nchi inalindwa na kuheshimiwa.
 
Uzalendo hauna chama! Uzalendo ni kwa nchi. Mama Samia Kikwete kwa kiasi kikubwa anamkwamisha hamsaidiii wala kusaidia nchi
 
Anamchochea mkoloni kaburu toka Zanzibar aendelee kuwatesa kuwanyanyasa chadema ili aharibikiwe wapate kumwengua mbio za Urais waweke watu wengine
 
CCM ina malizwa kivipi ? Kwani kwa mazingira ya siasa yalivyo hapa tz nani wakuwatoa. Issue ya msingi ni kwamba wazalendo wa kweli ndani ya CCM kuhakikisha wanakuwa united kuhakikisha misingi ya nchi inalindwa na kuheshimiwa.
Mtamalizana ninyi kwa ninyi,mtauana ninyi kwa ninyi,mtamtafuta mchawi hamtompata kwa sababu tu mnatetea ccm isitoke madarakani.Sasa hivi Rais wa Awamu ya Tano na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu mliua ili mwendelee kula mema ya nchi lakini mkishavimbiwa mnaanza kutapika.
 
Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine.

Msishangae yule Mama Samia wa 2021-2022 yuko wapi ametekwa na team kikwete . Yeye anataka tu awaache familia yake na ndugu zake kwenye mikataba ya bandari, gas na miradi mingine hajali nchi wala nini

Mama ajue akianza kurudi kwenye maridhiano huyu kukwete na mafia yake msije kushangaa wanasema Mama kaugua ghafla na hawezi kuendelea na Uraisi ili waweke watu wao. Yaani hii nchi imetekwa

WALIOPUUZA SASA MKO WAPI
 
Back
Top Bottom