Kikwete amteua Dr. Mighanda Manyahi M/kiti Bodi ya TANESCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk.Mighanda Manyahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari -na kusainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini ilisema ,kufuatia uteuzi huo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter -Muhongo amewateua Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO .

Wajumbe wa bodi walioteuliwa ni Kissa Vivian Kilindu,Juma Mkobya,Dk.Haji Semboja,Shabaan Kayungilo,Dk.Mtesigwa Maingu,Bodi Mhegi,Felix Kabodya pamoja na Dk.Nyamajeje Weggoro.

Taarifa hiyo ilisema bodi hiyo imeanza kazi Januari 1 na itaishia Februari 31 Mwaka 2017

chanzo: ikulu

Waislamu wengi sanaaaa kwenye hii bodi
 
Wachape kazi na waache kutumiwa na mataifa makubwa hususan Marekani!! Tunajua kuwa SYMBION imehusika katika uteuzi huu...
 
Shahada yake ya Tatu ilihusu masuala ya utaalamu huo. Kumbuka Shahada ya Tatu , muhusika huwa anabobea kwenye utaalamu husika (specialization).

Electrical engineers wanaelewa unazungumza nini..mkuu hapa

Field of specialization..inahusika..
Dr.M J Manyahi..yuko vizuri..
 
Huyu mteuliwa ni ustaadh na anasali sala tano kila siku.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk.Mighanda Manyahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari -na kusainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini ilisema ,kufuatia uteuzi huo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter -Muhongo amewateua Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO .

Wajumbe wa bodi walioteuliwa ni Kissa Vivian Kilindu,Juma Mkobya,Dk.Haji Semboja,Shabaan Kayungilo,Dk.Mtesigwa Maingu,Bodi Mhegi,Felix Kabodya pamoja na Dk.Nyamajeje Weggoro.

Taarifa hiyo ilisema bodi hiyo imeanza kazi Januari 1 na itaishia Februari 31 Mwaka 2017

chanzo: ikulu
 
Hongera sana Dr M.J.Manyahi.
Kwa ufupi.
Dr. M. John Manyahi, kwa sasa ni Mkuu wa Department ya Electrical Engineering pale COET, UNIVERSITY OF DSM.Hongera sana Mwalimu wangu.
 
Wakristo kateuliwa mwenzenu mmetulia Kimya kama mnakata gogo..
Mbona hatusikii kelele za udini ?
Mshazoeshwa Post zote mnapewa nyinyi ?
 
Mmhh

KISSA KILINDI NIMAEMJUA AMA HUYU WA BOT??
TIMAOMBA CV YAKE WAPENDWA NIHATARI SANA KABLA ATUJAONGEZEA MEMGINE
 
..wajumbe wa bodi wanateuliwa na Waziri.

..nina tatizo na Prof.Muhongo kuendelea na nafasi hiyo na kututeulia wajumbe wa bodi ya Tanesco.

..uteuzi huu ungesubiri mpaka tutakapopata waziri mwingine wa Nishati na Madini.

cc Mwawado, NasDaz, Nguruvi3, OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:
Shahada yake ya Tatu ilihusu masuala ya utaalamu huo. Kumbuka Shahada ya Tatu , muhusika huwa anabobea kwenye utaalamu husika (specialization).

Kwa hyo unataka kusema watanzania wawe na matumaini kwani wataongeza chanzo kingine cha umeme ambacho ni radi? Mgao utaisha sasa ni mtindo wa radi.
 
Back
Top Bottom