Kikwete amteua Dr. Mighanda Manyahi M/kiti Bodi ya TANESCO

..kuna jamaa amesema wanasubiri "upepo" upite Prof ataendelea ktk wadhifa wake.

..mimi kwa mtizamo wangu Prof alitakiwa apumzishwe tangu wakati ule alipowatibua wananchi wa kusini kutokana na kauli zake za dharau, na kusababisha vurugu za wananchi hao dhidi ya serikali.

..tofauti ya Mkapa na JK iko ktk kasi yao ktk kushughulikia kashfa zinazohusu mawaziri wao. Mkapa alikuwa hachelewi kumuweka pendeni waziri anayeelekea kuwa mzigo kwa serikali na chama chake. kumbuka jinsi Mkapa alivyo wapumzisha Prof.Simon Mbilinyi, Dr.Juma Ngasongwa, na Dr.Hassy Kitine.

cc THE BIG SHOW, Maundumula, Kakalende
JokaKuu,
Usitake kunichekesha hapa! Tuanze na hiyo hoja kwamba tofauti ya JK na Mkapa ipo katika kushughulikia kashifa zinazohusu mawaziri wao!!!! Mawaziri wote wote ambao leo hii wapo mahakama ni wa serikali ya Mkapa! Suala la Mbilinyi lilikua ni inevitable na Mrema alisema wazi wazi kuhusu kashfa ya sh. 900m na sio hizi porojo za sasa... ambao hata wewe nikikuuliza Muhingo amechukua sh. ngapi hauna jibu zaidi ya kusukumwa na maoni ya akina Zitto ambayo kila mmoja anafahamu kwamba ile kamati ilijaa watu ambao Muhongo alikuwa anawapa mashuti... hutaki wewe na wenzako mnaacha lakini kamati ile ilikuwa ni sawa na kesi ya mbuzi kumpelekea chui.

Dokta Kitine vile vile shushushu Membe alikuja na ushahidi wote kuhusu Dr. Kitine kwahiyo nae ilikuwa haizuiwiliki! Wakati wa Mkapa kulikuwa na kashifa kibao lakini wabunge wa CCM walikuwa wanapigwa mkwala kuzizungumzia hadharani kama ilivyo sasa... Naikumbuka vizuri kashfa ya uuzaji wa NMB kwavile wakati ule nilikuwa mdau... hali ambayo ilimfanya CEO wa NMB kuachia ngazi na kurudi kwako US na Dr. Mwakyembe kujiuzulu wadhifa wake kama mjumbe wa Bodi!!! Sitaki kuamini kwamba umesahau ni Mkapa huyo huyo ambae aliwadhalilisha Waandishi wa Habari hadharani kwa kuwaita wana wivu kwavile tu walikuwa wanahoji suala la ufisadi... in short, hata Waandishi nao walikuwa wanaiogopa serikali ya Mkapa! Kwahiyo ni kichekesho kusema Mkapa huyu huyu aliyeuza nyumba zote za serikali, aliyeuza asilimia kubwa ya mashirika ya umma, aliyejiuzia mgodi wa Kiwira, aliyekuwa ameanzisha kampuni ya biashara Ikulu, kashfa zote ambazo leo hazijapatiwa majibu kama vile Deep Green, Meremeta n.k zote hizi hadi leo hazina majibu na zimetokea wakati wa Mkapa halafu hapa useme serikali ya Mkapa ilikuwa inashughulikia ufisadi!!!

Suala kwamba alitakiwa apumzishwe alipowatibua wananchi wa kusini... mimi kama mmoja wa wananchi wa Kusini naomba kukuambia kwamba msitake kututumia kwa maslahi ya kisiasa... lakini ninachoshukuru ni kwamba, ingawaje wananchi wa kusini tunaambiwa hatuajaenda shule utafikiri huko kwingine watu wameenda shule... uzuri wetu ni mmoja... si rahisi kuwatumia! Nakumbuka CHADEMA tangu ianzishwe nchi hii haikuwahi kuwajali wananchi wa Kusini lakini lilipokuja suala la Gesi ya Mtwara wakataka kujifanya kwamba sasa ndo wanawaonea huruma na kutaka kuwatumia... kwa bahati mzuri, Wamakonde wale jirani zangu hawakutaka kutumika na wakasema wazi wazi kwamba this's not political isssue, so get ya' ass out of here!
 
..Kwa uelewa wangu Pro.Mbilinyi aliondoka kutokana na kashfa ya kodi ya minofu ya samaki. Kwa kumbukumbu zangu kashfa hiyo iliibuliwa na Steven Wassira wakati huo akiwa ni mbunge wa NCCR. Wengi wanafikiri Mbilinyi aliondoka kwa kashfa iliyoibuliwa na Mrema, lakini ukichunguza kwa undani na kama ulifuatilia mijadala ya bunge wakati ule bila shaka utatoka na conclusion hiyo niliyotoka nayo mimi.

..Pia hoja yangu haikujielekeza katika kuweka mlinganyo wa "nani zaidi" katika masuala ya ufisadi kati ya JK na Mkapa. Hoja yangu ilijikita kasi ya Mkapa ya kuwashughulikia au kuwatoa kafara mawaziri wake waliokumbwa na kashfa.

..Masuala ya wananchi wa Kusini nadhani ni busara ukajadiliana na wana kusini wenzako. I dont want to touch a raw nerve ktk suala hilo, ukizingatia kwamba mimi siyo mwenyeji wa huko.

cc August
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Jamaa alitenguliwaga.
Halafu alojaza nafasi (Kyaruzi) nae wako wote ofisi moja pale EE CoET
 
Nakumbuka CHADEMA tangu ianzishwe nchi hii haikuwahi kuwajali wananchi wa Kusini lakini lilipokuja suala la Gesi ya Mtwara wakataka kujifanya kwamba sasa ndo wanawaonea huruma na kutaka kuwatumia... kwa bahati mzuri, Wamakonde wale jirani zangu hawakutaka kutumika na wakasema wazi wazi kwamba this's not political isssue, so get ya' ass out of here!
Nimeipenda hii!
 
Back
Top Bottom