Kikwete amteua Dr. Mighanda Manyahi M/kiti Bodi ya TANESCO

kwenye siasa za Tz ukisimamia taaluma hukai hata kidogo. Lazima ufuate siasa za chama tawala.
Ndio maana halisi ya kusimama kwenye TAALUMA yako. Ikibidi kuondoka, kuondolewa inakuwa hivo. Kwa nini uchafuliwe na escrow kama Prof Muhongo?
 
Ndio maana halisi ya kusimama kwenye TAALUMA yako. Ikibidi kuondoka, kuondolewa inakuwa hivo. Kwa nini uchafuliwe na escrow kama Prof Muhongo?

Hapo nimekuelewa. Ila wakati meinginr njaa inasumbua naona. Wengine ni woga wa kufanyiwa kitu mbays. Huoni Tido Mhando? hakuteteleka mpaka wakamuondoa
Ila sasa ndo atakuwa vizuri maana amepata AZAM TV.
 
Kwa kweli Tido ni MTAALUMA sana. Mwingine ni Jenerali Ulimwengu.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk.Mighanda Manyahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari -na kusainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini ilisema ,kufuatia uteuzi huo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter -Muhongo amewateua Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO .

Wajumbe wa bodi walioteuliwa ni Kissa Vivian Kilindu,Juma Mkobya,Dk.Haji Semboja,Shabaan Kayungilo,Dk.Mtesigwa Maingu,Bodi Mhegi,Felix Kabodya pamoja na Dk.Nyamajeje Weggoro.

Taarifa hiyo ilisema bodi hiyo imeanza kazi Januari 1 na itaishia Februari 31 Mwaka 2017

chanzo: ikulu

Prof Jay tungemuongeza tena mitano naamini na mimi ningepata hata udiwani wakuteuliwa,,

maana ni kata mti panda mti
 
Back
Top Bottom