Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai



Kwenye red hapo! Very interesting
 
KARUDI BABA MMOJA ...TOKA SAFARI YA MBALI
WATOTO WAKE WAKAJA ...ILI KUMTAKA HALI
KUMTAKA NA KAULI...WAIPATE MALI


nimesahau kidogo......... was a good song.


Karudi baba mmoja toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja ili kumtaka hali
Wakakata na kauli iwafae maishani
 
KARUDI BABA MMOJA ...TOKA SAFARI YA MBALI
WATOTO WAKE WAKAJA ...ILI KUMTAKA HALI
KUMTAKA NA KAULI...WAIPATE MALI


nimesahau kidogo......... was a good song.
Wakataka na kauli iwafae maishani
Akatamka mgonjwa ninaumwa kweli kweli
Hata kama nikichanjwa haitoki homa kali

Nimeishia hapo......
 
Reactions: rr4
Canada na Pengo plus mshauri wa JPM suala makinikia....nawaza tu kama suala limeisha watalipa kiasi kama 10% na kupandisha Mrahaba kuwa 35 kwa 65 au ni mileage ku kwa Sizonje kuombe kura....hizo pesa zitawekwa kwenye reli hadi Dodoma.....nawaza tu
 
Kikwete anaenda kufanya nini Canada , nyumbani kwao akina Barick ?
 
Wakati mwingine ushahidi wa mazingira unaweza kumtia mtu hatiani,Tumsubiri mwanasheria nguli TL aje atutafsirie maana yake.
 
Kikwete anaruhusiwa vipi kusafiri nje ya nchi wakati alihusika kusaini mikataba ya kifisadi kwenye madini enzi akiwa waziri???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…