cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,999
- 79,190
Hujui accacia ime originate wapi wakuu wake wametokea wapi hujui hq za barrick ziko wapi sasa mtateteaje haki za wanyonge
Pleeeeeease.A Security breach?
Unayo hoja .Mzee anakwenda kuwaeleza wale walioitwa wanaume kuwa Mpuuzeni yule mgeni wa madaraka pia kanituma niombe msamaha kwa niaba ya watanzania haaa
JMK ana roho ya kipekee,hana kinyongo mzee wa watu.What a coincidence!
JMK ana roho ya kipekee,hana kinyongo mzee wa watu.
Huyu mkwere anapenda kubembea kweli na safari hii wazungu wamemuweza wamembeba kwenye mkokoteni!!!Ina maana kwa akili zenu mlidhani mzungu anaweza kumyenyekea mweusi kwa heshima kama hizi bila kuwa na sababu ya pumbazo hili?
View attachment 525031