Kikwete amkemea DC Makonda

Kikwete amkemea DC Makonda

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,527
Ni baada ya dc Makonda kushindwa kujibu swali aliloulizwa na Rais kwamba ni hatua gani amechukua kushughulikia tatizo la mafuriko pale basihaya Tegeta. DC alisema wanapanga mipango ya muda mrefu ndipo Rais kwa hasira akamwambia yeye anataka utafutwe ufumbuzi wa haraka kwani waathirika wanateseka sana.

Chanzo: chanel ten Habari
 
sasa hapo amemkemea wapi?! mbona ni viongozi wote tu wako hivyo.
 
Hapo aapikutana makinda mhuni na kikwete dhaifu. Usiniulize matokeo yatakuwaje......
 
duuh nakumbuka aliwahi kumtoa show DC wa Korogwe
mwaka jana kwenye ziara akisoma taarifa ya maendeleo ya Wilaya
Hadi ilibidi nifiche sura yangu.

So kupigwa chini kwa yule bwamdogo nilitegemea
 
Du heading imetisha kuliko uhalisia
hebu kaangalie tena hiyo taarifa ya habari,
Mkuu akisisitiza majukumu ndio KUFOKA?
Kwani Makonda ndio kaleta mafuriko?
chuki utazijua tu
 
duuh nakumbuka aliwahi kumtoa show DC wa Korogwe
mwaka jana kwenye ziara akisoma taarifa ya maendeleo ya Wilaya
Hadi ilibidi nifiche sura yangu.

So kupigwa chini kwa yule bwamdogo nilitegemea

Si mjombake yule!?
 
Ndio matokeo ya kulipa fadhila kwa sababu alimpiga Warioba akapewa cheo cha DC., Makonda mwenyewe kichwani hamna kitu seriakli ya ccm ina sera mbovu kabisa Tundulisu alisema hawa ni wachov kweli wachov
 
Sasa Mh Makonda amekemewa wapi hapo? Jamani tubadilike . Nyie timu mananihii nyie mna matatizo makubwa ya kufikiri. Kutwa kucha mnawaza urais tu. Subiri muone
 
DC aaibisha kabisa, utazani mshona viatu, hajui hili wale lile, walidhani uDC ni mchezo, watu wanaangamia unasema unapanga mipangoi ya muda mrefu huyu kweli hamnazo
 
Dogo anataka kuwa maarufu kuliko bosi wake.
Hivi vyeo bila orientation ndio matatizo yake.
Hupaswi kuwa smart kuliko bosi wako. He has to take all the credit. Full stop. Dogo huyu ana speed mbovu.
 
Back
Top Bottom