Kikwete akubali kukutana na CHADEMA

safi sana Mh Raisi,kweli anajari maslahi ya watz kuhusu Amani na kutaka kuwapatia wtz kitu wakitakacho,tumpongeze kwa hili

Tatizo humu angekataa watu wangeponda, kakubali bado kunawatu wanaponda sasa sijui tulitakaje
 
Hongera Mhe. Jakaya Kikwete kwa kutekeleza wajibu wako wa utoaji haki na kusikiliza makundi yote ktk jamii!!Endelea na moyo huu, Watanzania wana imani nawe!!
 
vp budget ya Posho yenu, kuna posho review imepita, kama bado komaeni na Nape kaz mnayofanya ni nzuri... Bt kuweni 2ta iyundia 2me mkifanya mchezo... Nyinyi jisauni 2...

Na wewe hebu acha kuandika hivyo vi sms hapa uko jukwaa linalohesheshimika usiuoneshe utoto wako humu. Kuwa makini kidogo unajishusha hadhi kwa hivyo viandishi vya kitoto.
 
wanasiasa bwana wanavijimambo hayo mawazo si wangeyatoa bungeni? kuliko kususia na kuja dar kumtafuta JK
 
Huyo ndio Rais wa wote, wanaomkubali na wasio mkubali, Namna hiyo Kikwete, umewakata Ngebe kama kwenye katiba, walitaka ukatae wapate kufanya maandamano.

Sasa wewe umekubali wao ndio watataka wakupangie muda watafute sababu ukatae. Ngoja tuone.
mh! You are a way too political my sister!
 
Kuna baadhi ya watu wanapenda udaku kwa kupotosha ukweli kwa maslahi yao na kufurahisha nafsi.Rais kikwete hajasalim amri bali amekubali ombi la viongozi wa chadema walioomba wakutane nae.
 
all in all let us wait and see if it is not political game. Do no trust a politician
 
Bonge la pre-emption. Walitaka kupata cha kuongelea. Hata hivyo kukutana ni kitu kimoja na kuwakubalia hoja zao quite another.



Ninavyoona, Rais wetu anaangalia mbali kuliko ushabik wa kisiasa. It is an opportunity for him to go down in history AS THE GREATEST STATESMAN THIS NATION HAS HAD. Akifanikiwa kuleta constitution FOR THE PEOPLE BY THE PEOPLE, atakumbukwa zaid ya mtawala YEYOTE aliyoongongoza hii nchi.

He needs our support!
 
Nadhani jazba na ubabe havitatawala mkutano huo. Na tatizo hapa sio katiba bali kukubali kutofautiana bila kutiana vidole machoni. JK noumer. kawapiga za uso kwa kuleta ajenda waliyotegemea kutamba nayo, kwa kuleta katika front line. wao walikuwa wakiiweka hio kitu kama trump card, kawapiku! JK noumer!!!!
 
Naona kasoma nyakati na ishara hasa kwa kuyaona yanayotokea Misri kwa sasa na huku jukwaa la katiba nalo nikijipanga kwa maandamano ya nchi nzima!

Jukwaa la katiba gani?! Lilelile linaloamua kufanya maigizo au lingine?! Eti wanaiomba Brass Band ya polisi isindikize maandamano yao; kama sio maigizo niite nini wakati wanajuwa wanalolihitaji haliwezekani?! Sana sana tusubirie kusikia wameetangaza kuahirisha maandamano hadi wapate feedback ya kukutana kwa CDM na mkulu!!
 
Wameamua kwenda kuomba ushauri juu ya siasa kutoka kwa mwenyekiti wa chama.
 
wanasiasa bwana wanavijimambo hayo mawazo si wangeyatoa bungeni? kuliko kususia na kuja dar kumtafuta JK

chadema huwa wanacheza na akili za watanzania. Wanatafuta cheap popularity.

Ngoja wakaonane na rais wao.
 
Imekaa vzr hii ametumia busara zaidi kukubali kukutana na hao viongozi wa cdm. Angekataa wangeitisha maandamano nchi nzima kisa rais kakataa kutusikiliza. Lakini sidhani kama wana hoja nzito ya kumpelekea rais, wao walitegemea atakataa ili wapate pa kuanzia. Tuombe mungu hiyo cku ifike tusikie kilicho wapeleka ikulu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom