Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,947
- 32,343
Kaufyata maana anajua kuwa ccm wana polisi chadema wana nguvu ya umma na hakuna policeccm ambao wamesha wahi kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma na wabunge 23?
Kaufyata maana anajua kuwa ccm wana polisi chadema wana nguvu ya umma na hakuna policeccm ambao wamesha wahi kushinda nguvu ya umma.
This is a good news! I real like it. Sasa nasubiri akububali pia na mapendekezo watakayompelekea.
God forbid, akikataa tu, kaisha!?
Kwani waisraeli wako wangapi kuwaburuza waarabu jinsi wanavyotaka?Nguvu ya umma na wabunge 23?
Ndio maanaake!
Huyo ndio Rais wa wote, wanaomkubali na wasio mkubali, Namna hiyo Kikwete, umewakata Ngebe kama kwenye katiba, walitaka ukatae wapate kufanya maandamano.
Sasa wewe umekubali wao ndio watataka wakupangie muda watafute sababu ukatae. Ngoja tuone.
Hivi sasa hathubutu kufika Arusa. Sasa ataishia magogoni!akikataa mtafanyeje? watu wengine bana kwa masifa lol..
Nikiangalia heading ya hii thread na post hii napata jawabu kuwa> kinachoendelea kwenye siasa za Tanzania siyo kupata muafaka kwa ajili ya kuendeleza Taifa bali ni kuoneshana nani zaidi. Ndiyo mana miaka 50 ya huru bado wototo wetu wanasomea chini ya miti.
Kukataa kuonana na wewe kama Rais ni arogancy ya hali, huu si wakati Mkapa aliyewahi kusema kuwa CUF wanakata kukutana nae ili wapate picha na rais, who is rais mbele ya mwenyezi mungu? apart from having constitutional power. Wakati tulio nao leo si wa Rais kukataa kusikiliza watu wenye public support kama CDM, ni wakati wa kuililia nafasi hiyo. Ninaamini kuwa Mazungumzo kati ya Salim, Warioba na Dr Slaa ndiyo product ya mchakato huu. Tukianza kuspin out of control we will all lose si CDM, CCM na watanzania tusio na vyama. Kama nia ya JK ni kuwasikiliza tu sioni mantiki na haja ya kukutana na CDM, ila kama mantiki ni kusikilizana na kuona jinsi ya kuufanya mchakato kuwa wa kitaifa zaidi ya ki-CCM. This is the best opportunity for JK to show leadership to the country and world. Imani yangu ni kuwa kukubali huku kuna approval ya kamati kuu ya CCM bila kuwa na predetermined stand kama ilivyo kwa CDM.
Hivi sasa hathubutu kufika Arusa. Sasa ataishia magogoni!
kulingana na taarifa ya ITV JK amekubali kukutana na chadema. atafanya busara akisikia na kuelewa watakayomweleza
Washabiki wa chadema na CCM wataharibu mchakato..
Kwasabab wanafanya mashindano ...
Simba na yanga kwenye mambo ya msingi
Hamna kitu mtafanya mkuu ila kwa vile JK ana busara na ni Muungwana otherwise ingekuwa Mkapa hapa mngetukanwa tu wala hakuna kitu mtafanya acheni masifa lol.