Kikwete akiimba kimoyomoyo

duuuuuu, nyimbo ina vina na yenye vina ina maana hasa kwa uma wa watanzania. Jamani watanzania wenzangu tafakarini mara mbili mbili kabla ya kupiga kura, tumchague mtu atakayetetea maslahi ya uma. Kanga, tshert na vijifedha/vijisent vitatucost takriban miaka mitano, ndugu zangu miaka mitano huku unateseka ni parefu mno. NDUGU ZANGU UKIONA UMEULA UJUE UMELIWA.
 
images

Wizi na uwongo, ni ujanja nilorithi kutoka kwa ***** yangu mimi, vyote mkagundua, mkaona silingani kabisa kuwaongoza.
Na kama haitoshi, mkakata kabisa na shina la mabango yangu mimi, eti kisa wizi, mkaona bora mniache mimi muende upinzani.
Naskia hivi sasa wote mpo chadema, mnatupa kadi za ccm na mnakuwa wa chama fulani, iliniuma sana, sana.
Naskia hivi sasa wote mpo chadema, mnatupa kadi za ccm na mnakuwa wa chama fulani, iliniuma sana, iliniuma sana, sana.
Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.

Mngejua jinsi gani, machozi niliyolia kwa uchungu wa kura zenu nyinyi, mwenzenu jinsi gani, vile nimeumia moyoni. Hata jukwaa sitamani, utamu wa usanii mwenzenu imekula kwangu mimi, mwenzenu sina hamu, hata raha ya ikulu mi sioni.
Naskia hivi sasa wote hamnitaki, vile mkikaa hata mkiongea, mmeungana sana, sanaa. Mi mwenzenu Slaa huyu mi sina hamu, tena nna mpango wa kuongea na shimbo, nataka aende mbali, nijiepushe na kero zake mi mwenzenu siwezi.

Nimecheka sana aiseee Wasanii kibao sema MIKE chache tuuu!!!!
 
:dance:yes! this is great, I like it very much.
Huyu jamaa amezidi bwana,tulimchagua atuongoze vizuri matokeo yake amefanya Ikulu kitega uchumi chake,familia yake na maswahiba zake.
Safari hii hapati kura yangu ng'oo.Kwanza ameishaiuza kigamboni kwa Rais mstaafu wa marekani Bush na endapo tukiendelea kumkumbatia kwa kumpa madaraka mwishowe atauza na kipande kilichobakia.
 
Nadhani hata malaria sugu ameipendaa na huko aliko naburudika hamna mfano
 
Kikwete hakuna lolote analowaza kichwani mwake, anajionea kero tu maisha yake yapo shakani Slaa akiingia Madarakani maana itampasa aje kujibu maswali magumu pale mahakama kuu. ila kwasasa yuko empty minded.
 
Nadhani wimbo huo wakati anautunga huyo ***** alikuwa tayari ameshavuta bangi, huwezi tegemea mtumwenye busara na akili timamu aliyelelewa na wazazi wake anaweza kuthubutu kuandika upuuzi kama huo, kama humtaki Kikwete ok hakuna anayekuzuia lakini tumia lugha za kistaarabu na sio maneno ya kibwege kama hayo, inadhihirisha naman ulivyo punguani siadhani hata huyo Slaa unayemshabikia anaweza kufurahishwa na wimbo wako huo.
 
Amesema kweli mzee shaaban robert
kila asi wa kanuni, ni mjinga wa kulala
wa kulala duniani,mahala penye madhila
penye hasara na dhani, na mauti ya ghafula
jibu limswali, mja kutii kanuni

mtunzi wa hiyo nyimbo amekiuka kanuni za adabu na heshima kwa muktadha huo hana maana yoyote ni mtu wa kupuuzwa
 
images

Wizi na uwongo, ni ujanja nilorithi kutoka kwa mama yangu mimi, vyote mkagundua, mkaona silingani kabisa kuwaongoza. ..................

Wimbo wako mkuu Martinez uko poa kulingana na ulivyokuwa unajisikia lakini umekuwa UNFAIR AND UNCOUTH kwa maneno niliyo bold na ku-colour. Sitegemei mtu mwenye akili timamu kuandika maneno ya kashfa na dharau kwa mama yake JK. Wewe unamfahamu mama yake JK, kwanini useme JK karithi wizi wa mama yake, huyo mama aliiba nini???. Mimi nafikiri hatuandika kama kujifurahisha kwa ushabiki lakini tunatakiwa kuonyesha busara na hekima kwa yale tunayoandika badala ya kuandika ujinga ulionao kichwani kwako ambao hakuna mwenye akili timamu anaweza kuupenda.

Duhh! wewe naona fasihi imekutupa kweli..... yaani kila kitu unatafsiri kama kilivyo? Ebu kuwa mstaarabu uulize alivyosema "mama" alimaanisha nini? Tutakujibu sisi wataalamu wa lugha......tehhh,,,,,,te.... mama siyo lazima awe mama mzazi. Punguza jaziba ndugu yangu na uache kutukANA kabla hujatafakari..... WIMBO UMETULIA!!!!
 
hiyo bold yako umeiongezea wewe mwenyewe.
ila wimbo umesimama na umekuumiza. hivyo lengo la wimbo limetimia
 
Duhh! wewe naona fasihi imekutupa kweli..... yaani kila kitu unatafsiri kama kilivyo? Ebu kuwa mstaarabu uulize alivyosema "mama" alimaanisha nini? Tutakujibu sisi wataalamu wa lugha......tehhh,,,,,,te.... mama siyo lazima awe mama mzazi. Punguza jaziba ndugu yangu na uache kutukANA kabla hujatafakari..... WIMBO UMETULIA!!!!

Mimi naona fasihi imekupita pembeni zaidi mama ni mama, cha msingi angalia maudhui ya wimbo na kurithi wizi kutoka kwa mama. Kwani ujumbe kufika mpaka umtaje mama
 
images

Wizi na uwongo, ni ujanja nilorithi kutoka kwa ***** yangu mimi, vyote mkagundua, mkaona silingani kabisa kuwaongoza.
Na kama haitoshi, mkakata kabisa na shina la mabango yangu mimi, eti kisa wizi, mkaona bora mniache mimi muende upinzani.
Naskia hivi sasa wote mpo chadema, mnatupa kadi za ccm na mnakuwa wa chama fulani, iliniuma sana, sana.
Naskia hivi sasa wote mpo chadema, mnatupa kadi za ccm na mnakuwa wa chama fulani, iliniuma sana, iliniuma sana, sana.
Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.
Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.

Mngejua jinsi gani, machozi niliyolia kwa uchungu wa kura zenu nyinyi, mwenzenu jinsi gani, vile nimeumia moyoni. Hata jukwaa sitamani, utamu wa usanii mwenzenu imekula kwangu mimi, mwenzenu sina hamu, hata raha ya ikulu mi sioni.
Naskia hivi sasa wote hamnitaki, vile mkikaa hata mkiongea, mmeungana sana, sanaa. Mi mwenzenu Slaa huyu mi sina hamu, tena nna mpango wa kuongea na shimbo, nataka aende mbali, nijiepushe na kero zake mi mwenzenu siwezi.

Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.
Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.
Kweli JK ni Msanii,ana kipaji,itabid tumpeleke kwa Majani
 
kuweni na adbu-sasa great thinkers ipo wapi? tatizo humu ndani siasa zimezidi saana.mi naomba tarehe 31 ifike ili watu waanze kujadili mstakabadhi wa nchi kama inavyotakiwa na cyo huu ..............
 
wimbo umetulia... mama ni CCM iliyomlea mkuu.... hapo JK ameshikwa pabaya maana muda simrefu wananchi wataanza kuimba....
 
Back
Top Bottom