Nadhani ungetwanga kwa kiswahili ili adhira kubwa ya Chadema humu JF ielewe.
Hao hawaelewi hata kwa lugha za kikwao. Wanajidanganya wameshinda. hahahahaha. Ajabu kweli, tangu lini mtu akashinda kwa kujadili mambo ya watu binafsi???? Wanampotosha Dr. nae sijui kwa nini amekubali kuingia kwenye non-issues.