Mpanda Merikebu
Senior Member
- Dec 27, 2007
- 170
- 2
Taratibu tu..mwishowe naona tutakubaliana.Nitajaribu kukujibu kama ifuatavyo;Chifu,
Sinuii kukukatisha tamaa, kamwe hiyo si hulka yangu. Hata kama sintokubaliana nawe, sitaota kukukatisha tamaa. Kitu ninachotaka uelewe ni kwamba, jinsi ulivyoandika inaonyesha inataka mambo yafanywe kienyeji.
Hata kama serikali ya Marekani itataka kumrudisha Ballali, haiwezi ikajiamulia tu kufanya hivyo bila kuombwa rasmi na serikali ya Tanzania. Hata kama wakiombwa, ujue kuwa kwa vile Ballali ni mkazi wa kudumu wa Marekani, serikali ya Marekani inaweza ishindwe kumrudisha kwani huko kutakuwa ni njia panda kati ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania na kumlinda mtu mwenye kustahili kuishi na kufanya kazi huku.
Kama nilivyoeleza hapo awali, suala hili ni nyeti na lina mtandao wa watu wengi na kufanya mambo kienyeji kutapelekea kukosa hata hilo suluhisho la kudumu. Cha msingi ni kuendelea kuihoji serikali ni kwanini hawawafungulii mashtaka wahusika wote (japo Ballali ni conduit tuu), kina Patel, Lukaza, Mushis (not sure if you're related), na hata wale walioidhinisha malipo haya na Ballali, watu kama kina Mramba, Mgonja etc. Kuishinikiza serikali kwa kila namna ndio njia pekee ya kutafuta suluhisho lakini sio propaganda na udaku wa kutoa tafsiri isiyo sahihi na yenye kuleta uchochezi.
Kituko ni wewe unayeongea kama msukule!Kwanini unapenda laini laini?Sasa kama Kikwete hajakataa kwanini alikuwa anasema hajui aliko?Mushi unaweza kusema kwa uhakika kabisa "Kikwete Akataa Balali asiletwe"? Tumia maneno yako vizuri basi arawa! Otherwise unaonekana kama kituko hivi.
"serikali haijaomba bado"hizo ni lugha za kisiasa ambazo watu wenye upeo kama ninyi mnatakiwa muelewe!wametumia lugha laini tu!nilikuwa natafuta wapi kikwete kakataa kuwa balali asiletwe!!...............oooh my god what a waste of time!!!
Jmushi1
balozi kusema serikali haijasema/haijaomba kuwa wanamuhitaji balali haina maana kuwa jk kakataa.....this is what all others here are telling you........serikali haijaomba bado haina maana kuna mtu kakataa........unless unajua ya ndani/jikoni zaidi
Masatu JF Senior Expert Member Join Date: Mon Jan 2007
Re: Kikwete Akataa Balali Asiletwe!
Ur either sarcastic or plain idiot, kindly take ur pick....
__________________
The greatest lesson in life is to know that even fools are right sometimes
................, kama balozi wa US anasema serikali yetu haijamuomba kumrudisha Balali, maana yake kwa maneno mengine ya kisasa ni kwamba rais wetu hajamuomba, period na tena a big FULL STOP! Je rais wetu hataki Balali, arudi ndipo either Mushi alipo-fall short kidogo ..............!
kumhukumu Muungwana kuwa amekataa ni kinyume na standards za judgement zetu wengi hapa.....
kijana (arawa)amefall short................PERIOD!!
1.
Not 100%, kwa sababu who cares na hizo standards ambazo most of the time zinategemea amesema nani na amemtukana nani, na nani anajikomba kwa nani? Mushi had all the right kusema rais amekataa kwa sababu balozi wa US hawezi kusema publicly kuwa rais wenu hataki, kwenye diplomatic language haikubaliki hiyo, Clinton, amesema Obama kushinda South Carolina, ni sawa na Jesse Jackson, alivyoshinda kwenye miaka ya 1884, na 1988, lakini akaishia kutopata nomination, lugha hii kisiasa dunia nzima imeamuliwa kuwa huyu ni racist na anajaribu kutumia race card, je is that exactly what he Clinton said? Je ingekuwa hapa JF Mushi ameamua kuwa hivyo dunia ilivyoamua ndivyo Clinton alivyosema, which is his right ingekuwaje?
2.
Kwenye hili la pili, ndiyo hasa accademically na politically iliyotakiwa kuwa the fine line ya kushambulia hoja za Mushi, na sio kumtukana mpaka kumwambia ajichague kama ni idiot, hizo ni lugha za choooni zisiruhusiwe hapa JF kwenye mijadala ya elimu, watu wengine tunasoma hapa jamani, na wengine tunaangalia anga za PHD ikiwezekana, sasa tusaidiane kielimu, sio kimatusi!
Ahsante Mkuu Ogah na wengine kwa kunielewa, na Mushi keep it up!
Kichwa changu cha habari kingetofautiana na habari kama Mh Rais mwenyewe angekuwa ameshawaomba wamarekani wamlete Balali..na si kutuambia kuwa hajui mahali alipo!Angetakiwa awe ameshawaomba wamarekani wamlete Balali na si kusubiri mpaka wamarekani watuambie kuwa serikali ya Rais wetu haijawaomba kufanya hivyo!Mkuu FMES,
Nakubaliana nawe mkuu kuwa Mushi ana haki ya kutoa hoja na kuitetea kwa nguvu zake zote. Lakini naomba tuangalie mambo mawili...mosi, ni vile ulivyosema kutumia lugha za chooni bali tutumie mijadala ya elimu. Kwa jinsi Mushi alivyoandika kichwa cha habari huku kikiwa kinatofautiana na kilichoandikwa, ni mfano wa kuwa na mjadala usio wa elimu.
Lakini tunaweza kusema alisema kwa context ya kisiasa. Hili linanipelekea kuangalia jambo la pili, kwa nini tuwe tunaandika mada kama hii (isiyo ya kisiasa) kwa kutumia context ya siasa? Naelewa logic aliyotaka kutumia ili kuwa na conclusion aliyotoa lakini kwa bahati mbaya sidhani kama yaliendana.
Kwa heshima na taadhima!
Hamna mtu amekuomba uje kuchangia matusi kwenye hii thread..however unaonyesha udhaifu wako..kwamba uko hapa kwa maslahi flani!JF niliamua kujiunga baada ya kuona ni uwanja mpana wenye kuruhusu mijadala ya hoja kwa hoja bila kuget personal!Sio nia yangu kujibu matusi kwa matusi..kama umeshindwa kunijibu maswali niliyouliza then pls dont contribute to this thred.Siasa za matusi na chuki binafsi unazozileta hapa jf ni za kichefuchefu..zirudishe ulikozitoa..Nitawaomba jf waongeze freedom in the middle ili iweze kuwa JAMBO FREEDOM FORUMS!WHERE WE DARE TO TALK!
Kichwa changu cha habari kingetofautiana na habari kama Mh Rais mwenyewe angekuwa ameshawaomba wamarekani wamlete Balali....Angetakiwa awe ameshawaomba wamarekani wamlete Balali na si kusubiri mpaka wamarekani watuambie kuwa serikali ya Rais wetu haijawaomba kufanya hivyo!
....!NI BORA UZINGATIE SIASA ZA COMMON SENSE..MUULIZE MH RAIS NI KWANINI ALIONA NI MUHIMU KUWAHOJI WANANCHI KABLA YA BALALI?
Mushi,
Tuachane na siasa za common sense na twende na facts..... Kwa nini balozi Green alipoulizwa mahali alipo Ballali akayeyusha kwa kusema kuwa sheria za Marekani hazimruhusu kusema nyendo za watu walioko nchini mwao? Wamarekani na law enforcement agencies zao kweli hawajui Ballali alipo?
sawa tu!ila no matusi!jf embraces fair discussion!and if its politics..we embrace the ones that makes sense!where the hell u got this mandate of total ban? For ur inf im here to stay and ur dealing with the beast u dont know!