haya tunayoyaonaGPA 2.1 unategemea kitu gani?
Rais amesema, na kweli ndivyo ilivyokuwa, kwamba DOWANS walisaini mkataba mpya na TANESCO.Raisi anatamka Richmond ni kampuni hewa, kama ni hivyo DOWANS ilirithi mkataba kutoka wapi?
Si kweli. Rais amesema, kwa kuwa TANESCO ni shirika la umma, ikishindwa kulipa Serikali ndio inalipa.Raisi anasema Tanesco watalipa na siyo serikali
you're right mkuu.kama kawa anatengeneza igizo and buying time,his usual modus operandi.Jamani hajaongea lolote la maana na nina uhakika ndo kazidisha moto, alichofanya ni kupiga story na alikua wapi sikuzote hizo hadi aje kuongea leo? kwa nini asubiri hadi wengine wawe wakali na kukataa malipo hayo ndio leo ajitutumue azungumzie Dowans, tena kwenye sherehe za CCM ili mambo yakiwa magumu aseme kuwa alizungumza kama Mwenyekiti wa CCM na sio RAIS, na mtaamini maneno yangu
Rais amesema, na kweli ndivyo ilivyokuwa, kwamba DOWANS walisaini mkataba mpya na TANESCO.
Kwa hiyo, Richmond iko nje ya mlinganyo, nje ya mjadala (hitimisho langu mimi).
Si kweli. Rais amesema, kwa kuwa TANESCO ni shirika la umma, ikishindwa kulipa Serikali ndio inalipa.
Ngoja tutafute transcript ya hotuba, ndio itakata mzizi fitina wa upotoshaji.
We ni mkosefu wa nidhamu huwezi kumwabia rais mpumbavurais kuongea maneno ya namna hii ni mpumbafu na ujinga wa hali ya juu...asifanye watu watoto hapa na majibu yake ya hovyohovyo...kwanza nani kamuuliza mpaka anaanza kufafanua ...stupid
KIkwete leo ametangaza rasmi Tanzania ni taifa la wajinga! Bila shaka alikuwa anapigiwa makofi akimwaga hizo pumba. Ningeweza ningelimshauri Dr Slaa atangaze tena Kikwete ni mmoja ya wahisani wa Dowans ndiyo sababu italipwa.
We ni mkosefu wa nidhamu huwezi kumwabia rais mpumbavu