FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
bado anatafuta umaarufu?
Kikwete ni mwenyekiti wa kwanza wa UN wa watu maarufu duniani - kumbuka hilo.
http://allafrica.com/stories/201505050385.html
bado anatafuta umaarufu?
Jk ni kipenzi cha watu..
Nafikiri amemaliza muda wake, tumemlaumu sana sasa yuko Uraiani
tumuache apumzike, maana kupumzika ni pamoja na kuachana na lawama
nzito za kiuongozi ambazo zilimuelemea
Hivi hii picha sio ya kutengeneza kweli. TAFAKARI
Raisi mstaafu,Jakaya Mrisho Kikwete,jana aliingia mtaani na kufanya shopping Mliman City.
======================
Chanzo: Mtanzania
Imetengenezwa, sasa hapa ndo utajua ulimbukeni wa watanzania wa kudandia vitu bila kuwa na jicho au ubongo wa ziada!
Hiyo picha ndo support ya mleta mada kuwa JK alienda Mlimani City, maana yake stori yake yote ni UONGO, na watu wanatiririka hapa kumsapoti.
Hata tezi dume atatibiwa AmanaMbona ghafla, kutoka shopping za Mississippi,Michigan,London,Dubai na Shanghai mpaka mlimani city? Duh, hapo ni wiki mbili tu, naona mwezi mtukufu tutakutana pale Tandale kusaka futali!
Kumbee......maana mods hawawezi kufanya hayo unayoyasema..
Pitia hapa: Mtanzania-Gazeti la Kiswahili la kila sikuPicha imepachikwa lakini mods bado wameikaushia tuu.