Kikwete aingia mtaani

Kikwete aingia mtaani

Cha ajabu ni nini hapa? Ndiyo uzuri wa Tanzania, kamaliza muda wake ni raia huru anaingia madukani kama watanzania wengine wa kawaida! Kwa nini tusijisifu?

Ni raia huru na hawezi kushitakiwa kwa uhuni aliofanya akiwa madarakani
 
Hakuna kwenda nje ya nchi, na yeye inamuhusu.
si mlisema ana hela sana?atakosa milioni kumi za kwenda nje?

Jk kabla hajawa rais alikua mtu wa kujimix,
afterall marais wastaafu wana idadi ya safari za kwenda nje zinazolipwa na serikali,zaidi ya hapo hata yeye hashindi kujigharamia
 
Aliyezoea kazi ya udalali,kazi ya kuuza duka haiwezi.
 
Jakaya kwa sasa hatulie nyumbani. Ampe rais mpya muda wa kushine na kukamata headlines
 
Mbona ghafla, kutoka shopping za Mississippi,Michigan,London,Dubai na Shanghai mpaka mlimani city? Duh, hapo ni wiki mbili tu, naona mwezi mtukufu tutakutana pale Tandale kusaka futali!

Bila kusahau jory club na maisha club
 
UKAWA kila wakimuona JK wanakumbuka mita 200 kulinda kura na deraya 700, hawawezi kumpenda hata siku moja, wana hasira naye mbaya
 
Ina maana hamna anayeona kua hiyo picha imefanyiwa editing??
Aliye-edit ajipange vizuri, bado bado kidogo.. Alafu vitu kama hivo ndo sheria za mtandaoni zikisema zinakufunga ni sekunde mbili tu sababu its obvious kua ni upotoshaji.. basi tu wanawapotezea
 
Kwa nin asiende nje na wkt kaishalamba shavu UN?nyie kalieni umbea tu humu..
 
Huo ndio ukweli, anaogopa kusahaulika mapema, leo nimeona amerekodi kwenye tv akihamasisha watu wajitokeze uwanja wa taifa kushangilia timu yetu,.kwa kifupi TFF wamefanya nisiende huko taifa
Huna hela tu wewe usilete mbwembwe hapa
 
Back
Top Bottom