Kikwete aingia mtaani

Kikwete aingia mtaani

Mbona ghafla, kutoka shopping za Mississippi,Michigan,London,Dubai na Shanghai mpaka mlimani city? Duh, hapo ni wiki mbili tu, naona mwezi mtukufu tutakutana pale Tandale kusaka futali!

Kwani anakula vipande vya dhahabu nini ni mtz. mwenzetu usimshambulie kipenzi cha watz we vipi
 
yaaaaa hyu raisi cjui 2limtoa wap yaaan n kuzurura 2 haya kesho utaskia ypo shopping krokon arusha
 
Ukawa wengi hawampendi JK hasa wakikumbuka kuanzia Dodoma hadi sasa alichokuwa akimfanyia Lowasa.

Lowassa, Sumaye,Slaa na Mbowe hawa wote wanatokea eneo moja na wameshawahi kupambana na Jk kwa nyakati fulani kwny Mbio za Urais na wote wameona "udhaifu" wake!!
 
attachment.php
 
yaaaaa hyu raisi cjui 2limtoa wap yaaan n kuzurura 2 haya kesho utaskia ypo shopping krokon arusha

Muulize Kingunge, Mgeja, Lowassa, Mahanga na Mgana Msindai wanajua walipomtoa kuanzia 1995-2005!!
 
Nafikiri amemaliza muda wake, tumemlaumu sana sasa yuko Uraiani
tumuache apumzike, maana kupumzika ni pamoja na kuachana na lawama
nzito za kiuongozi ambazo zilimuelemea
Lazima alaumiwe, kwa sababu bado anaendelea kutu cost, Mwinyi ana gari moja tu, hatembelei msafara wa magari manne, piki piki na personel ya watu kumi kwenye payroll ya serikali.

Na safari zake za Msoga-Dar kila siku zinaongeza foleni, zinatu cost kiuchumi big time. Kama anajifanya raia wa kawaida agande kwenye foleni na yeye basi.
 
Poor him,watanzania wengi hawameachwa hohehahe,nothing special!
 
Naleo tutakuwa nae uwanja wa taifa, jamaa yenu bado anagugumia urais, huko arusha sijui nayeye ataandamana? Kajidhalilisha sana. Kakingunge kazee ka pumzi nako katakuwepo arusha?
 
Hiyo picha mbona kama imepachikwa? picha hazina hata vivuli? na watu wake wa ulinzi wako wapi?
 
Back
Top Bottom