Mkuu platform ya siasa za Tanzania ni ile ile, viongozi ndio wale wale waliokuwa pamoja na Nyerere.Mhhhh! Nyerere kang'atuka 1985 miaka 26 iliyopita na waliomfuatia baadaye walijaribu kwa kasi sana kuachana na siasa za ujamaa na kutoiheshimu miiko ya Viongozi na maadili mbali mbali ya awamu ya Mwalimu na hata kulivunja Azimio la Arusha. Sasa baada ya miaka 26 ya kung'atuka kwa Mwalimu bado tunataka kuendelea kulaumu sera za Mwalimu za ujamaa na kujitegemea kwa madudu mbali mbali yaliyofanywa na Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete!? Mtamsingizia Mwalimu kila kitu kibaya hata vile ambavyo hastahili kabisa kulaumiwa.
Hawastahili wanachokipata kwasababu mfumo unaowapatia viongozi hao tayari una wa betray...Again,i firmly beleive serikali haijawajengea wananchi mazingira ya kujiendeleza.Huo ni wajibu wake namba moja.Seriiali inatakiwa iwe facilitators wa maendeleo ya wananchi,inapokuwa kinyume ndo haya.
NIDHAMU YA WOGA mkuu wangu, siasa ni mchezo mchafu sana unaweza hata mkataa mama yako mzazi ukiambiwa ni mchawi..Kama hawastahili wanachopata kwa nini wasi-take their country back? Kama hawastahili wanachopata kwa nini hao viongozi licha ya kuharibu, kila wanakokwenda pretty much wanapewa red carpet treatment?
Si umeona Tunisia walivyowatolea uvivu viongozi wao?
Kama hawastahili wanachopata kwa nini wasi-take their country back? Kama hawastahili wanachopata kwa nini hao viongozi licha ya kuharibu, kila wanakokwenda pretty much wanapewa red carpet treatment?
Si umeona Tunisia walivyowatolea uvivu viongozi wao?
NIDHAMU YA WOGA mkuu wangu, siasa ni mchezo mchafu sana unaweza hata mkataa mama yako mzazi ukiambiwa ni mchawi..
Tatizo ni udhaifu wa wananchi bana. Kama si wananchi kwa nini chama kilekile kinarudi madarakani chaguzi baada ya chaguzi?
Naelewa lakini hiyo ni a different way of fighting for a cause.Mfano wakati wa upiganiaji uhuru,nchi nyingine zilimwaga damu,nyingine hazikfanya hivyo.Kila nchi ilikuwa na njia zake za tofauti za kupambana na wakoloni.Inategemea na jamii na historia pamoja na culture zake.Kama hawastahili wanachopata kwa nini wasi-take their country back? Kama hawastahili wanachopata kwa nini hao viongozi licha ya kuharibu, kila wanakokwenda pretty much wanapewa red carpet treatment?
Si umeona Tunisia walivyowatolea uvivu viongozi wao?
Mkuu platform ya siasa za Tanzania ni ile ile, viongozi ndio wale wale waliokuwa pamoja na Nyerere.
Kinacho fanyika ni huyu kuingia chama iki huyu kuhama chama kile.
Hapa tunajifariji tu kushabikia vyama tofauti tofauti.
Nahisi labda watoto watakao zaliwa baada ya Urais wa kikwete ndio watakao ikomboa Tanzania.
Naye Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alisema si rahisi kuwarudisha mawaziri darasani ila wanachopaswa kufanya ni kubadili fikra, ili kwenda na wakati na kuachana na tabia za urasimu.
Rais Kikwete alisema ujamaa ndio umesababisha watumishi wengi wa serikali kuona ubepari kama uadui hivyo hata mtu anayetaka kuja kuwekeza anasumbuliwa hadi anaamua kuondoka.
Kweli ujamaa ndio umetufanya tuone ubepari ni dhambi hivyo mwekezaji akija anaangaliwa kama vile mwizi, na hilo linafanya wawekezaji wengine kuamua kwenda kutafuta sehemu zingine za kuwekeza, sisi serikalini tumeligundua hilo na ndo maana tumeanza mkakati wa kuajiri vijana wengi zaidi wenye fikra mpya katika nafasi mbalimbali, alisema Rais Kikwete.
Bado kuna tatizo la watumishi kubadili fikra ili watekeleze maono yetu, hilo tunapambana nalo kweli kweli ili twende na dunia ya sasa, ila kuwarudisha darasani hapana, alisema Rais Kikwete na kusababisha kicheko.
Kwa hiyo ni swala la kiimani..Unafikiri Rwanda na Uganda leo wamepata viongozi shupavu kwa sababu wananchi wake ni mashupavu?Hata hivyo vyama mbadala vmeshindwa kabisa kuja na sera mbadala za kulikomboa taifa kutoka kwenye umaskini.
Hii ni evidence kwamba viongozi dhaifu ni zao la wananchi, taifa dhaifu, lenye siasa lakini halina ideology.
Maneno mengi utekelezaji sifuri.
wananchi dhaifu ndio wanakuwa na nidhamu ya woga.
Kwa hiyo ni swala la kiimani..Unafikiri Rwanda na Uganda leo wamepata viongozi shupavu kwa sababu wananchi wake ni mashupavu?
Ufisadi walikuwa nao sana tu, leo hii tunasikia majina yao, only because tuna uhuru kidogo na vyombo vya habari, lakini enzi hizo hatukuweza kuyasikia haya kwa sababu vyombo vyote vya habari vilimilikiwa na chama na serikali.Hapo kwenye nyekundu Nyerere hakuwa fisadi wala mroho wa utajiri wa haraka haraka na siku zote aliweka maslahi ya Watanzania mbele. Sasa kama hawa Viongozi tuliokuwa nao ndio wale wale waliokuwa na Nyerere mwenye maadili, mwenye kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania iweje tena hawa wawe tofauti na Mwalimu na hivyo kutoheshimu maadili ya uongozi, kuweka mbele maslahi ya matumbo yao na utajiri wa hataka haraka, kusaini mikataba chungu nzima ambayo haina maslahi kwa Watanzania (ambayo Nyerere kamwe asingekubali kuisaini)
nakumbuka Nixon, Johnson na Jimmy Carter wanasemekana kuwa ndio viongozi dhaifu waliowahi kutawala Amerika, ndio kusema Waamerika walikuwa wadhaifu wakati wakiwachagua viongozi hao au?of course, huwezi kuwa la Taifa lenye wananchi shupavu halafu likachagua, na zaidi lilakubali kuongozwa na viongozi dhaifu.
Na M7 unaamini ni kiongozi shupavu, nae dhaifu anaongoza wananchi dhaifu.
Ufisadi walikuwa nao sana tu, leo hii tunasikia majina yao, only because tuna uhuru kidogo na vyombo vya habari, lakini enzi hizo hatukuweza kuyasikia haya kwa sababu vyombo vyote vya habari vilimilikiwa na chama na serikali.
nakumbuka Nixon, Johnson na Jimmy Carter wanasemekana kuwa ndio viongozi dhaifu waliowahi kutawala Amerika, ndio kusema Waamerika walikuwa wadhaifu wakati wakiwachagua viongozi hao au?
nakumbuka Nixon, Johnson na Jimmy Carter wanasemekana kuwa ndio viongozi dhaifu waliowahi kutawala Amerika, ndio kusema Waamerika walikuwa wadhaifu wakati wakiwachagua viongozi hao au?
Ufisadi ni ufisadi tu kaka, na hiyo ikulu ndio iliwalinda.Ufisadi unaodai kuwepo huwezi kulinganisha na huu wa sasa.......Kama ulikuwepo ulikuwa chini sio mpaka IKULU......
Ufisadi walikuwa nao sana tu, leo hii tunasikia majina yao, only because tuna uhuru kidogo na vyombo vya habari, lakini enzi hizo hatukuweza kuyasikia haya kwa sababu vyombo vyote vya habari vilimilikiwa na chama na serikali.
Mkuu wangu udhaifu hauna muhula mmoja wala miwili, Johnson alikuwa makamu wa rais na kuwa rais.. Nina kama hawa jamaa zetu ndio mashupavu wasingemwezesha Nixon na Johnson kutawala..Udhaifu wa viongozi wa Marekani ni tofauti. Na kwanza kati ya hao uliowataja ni wangapi walichaguliwa kuongoza kwa mihula miwili?
Mkuu yaani ujui kabisa kama kulikuwa na wati ambao wakifirisi hapa wanahamishwa pale?Kama upi Mkuu!? Hebu ufafanue ufisadi uliofanywa wakati wa awamu ya Mwalimu na kuwaneemesha wale waliokuwa madarakani na hatimaye kuwa mabilionea. Tulikuwa tunasota nao mtindo mmoja katika mashule yetu ya bongo kuanzia msingi hadi vyuoni na walikuwa wanaishi maisha ya kawaida kabisa, lakini leo hii wamejikusanyia utajiri wa hali ya juu kupitia ufisadi na hata shule zetu hawakanyagi tena. Pamoja na kuwa hakukuwa na uhuru wa vyombo vya habari lakini tulikuwa tunawaona kwamba maisha yao hayakuwa na tofauti kubwa sana na Watanzania wengi kama ilivyo sasa ambapo wengi wa mafisadi hao ni mabilionea kwa kupitia njia za haramu.
Mkuu yaani ujui kabisa kama kulikuwa na wati ambao wakifirisi hapa wanahamishwa pale?
Kusoma na watoto wa viongozi si vigezo kuwa baba zao hawakuwa mafisadi, tatizo tu ni kuwa viongozi walikuwa wanaabudiwa sana, na maisha ya wakati huo wa ujamaa, ukionekana upo tofauti na wengine, cha moto utakiona...! Yaani walijuwa kula na vipofu.