Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Sina uhakika kama kasema hayo kwa kuwa source hakuleta conclusive events kuhalalisha mada yake,anyway kasema hakusema, SI SAHIHI kwa Mwanachama au kiongozi yoyote wa CCM kusema tatizo ni UJAMAA. Please kama haya maneno yametoka mdomo mwa mwanaccm No ni HATARI tena kupita HATARI.
ITIKADI YA CHAMA CHA MAPINDUZI ni "UJAMAA NA KUJITEGEMEA"mimi binafsi kama Dotcom Generation sina tatizo na ITIKADI hii au mlengo ambao mwasisi wa Taifa na BABA WA TAIFA aliuanzisha kwa kuzingatia HISTORIA YA YETU WAAFRICA na UTAMADUNI WETU wa kuishi pamoja kama JAMII.
Nadhani ni moja ya watu wachache wenye point za kujibu kwa nini Nyerere alileta ujamaa! congrats
Nyerere alikuwa na nia njema tu, ila usije ukasema ujamaa ulifanikiwa, we are result of ujamaa, uli-fail (measurable), haujaleta faida yeyote ile.
Ki-inchi, pamoja na ujamaa ulivyokuwa na hali ile, yet ilihitaji mtu mwenye akili ku-switch ile hali kuwa bora na walokuja akina Mwinyi na wenzake hawakuwa suitable candidate ku-mreplace Nyerere.
Leo kama Kikwete analalamika, ujue hamna kitu kwenye ubongo anajua tatizo LAKINI IN WHAT EXTENT? hawezi kusema,
Ujamaa ulifail, yet we had good foundation there after to build Tanzania