Mwembeyanga wasiende watawakumbusha watu machungu ya List of Shame waende Mnazi mmoja au Kidongochekundu au Uwanja wa taifa.waende wapi sasa mwembe yanga ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Kweli lazima tuendelee kukumbusha mgombea wa CCM mgonjwa
Halafu naona Chadema wastaarabu sana angekuwa Slaa ndio kaanguka nadhani Makamba angekuwa anatumia tukio lile kama sara ya mkutano na TOT wangekuwa wametunga wimbo.
Nashauri Chadema waache kuzubaa siku zinakwenda waandae kabisa kabisa picha kubwa kubwa za kuanguka kwa Kikwete ili CCM wakizidi personal attachs wazitumie kwenye mikutano yao kuwakumbusha wananchi wasichague rais mgonjwa hata sinema ikibidi, wakurya wanasema fita ni fita hakuna fita ndogo.