Ninamwombea kwa Mungu akianguka tena asiamke milele!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya M. Kikwete akiwa amejiegamiza jukwaani (kushoto) huku akimsikiliza mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Jasson Rweikiza (Bukoba Vijijini).
AiseeeeSipendi mnavyodhihaki.
Ivi mzazi wako angekutwa na hali ile, utakua utamtania "aisee" akikuudhi?
Jamani tuwe na busara katika hili.
Angefanya vile kwa kukusudia au kumlinda fisadi flani, ningewaelewa.
Duh! Aiseeeee unajaziba wewe!Ninamwombea kwa Mungu akianguka tena asiamke milele!
Usawa huu lazima ajiegamize, huyo aliyeandika caption kanote kitu hiki.
Hata humu ilikuwepo ikatolewa, sijui kwa nini JF admin hawaoni umuhmu wa kidhibiti hicho kuwemo ukurasa wa mbele. Halafu eti sisi ndio tunaotaka mabadiliko, ovyooo! Mnamuonea aibu Kikwete kwa nini?Mkulu Quinine,
ile thread yako yenye kuonesha video ya Kikwete anaanguka iko wapi? so far sijaiona....
Nilitaka niibandike lakini naona Bu'yaka Bu'yaka ameirudisha angalia post. 891.Mkulu Quinine,
ile thread yako yenye kuonesha video ya Kikwete anaanguka iko wapi? so far sijaiona (au labda huu uzee nao umeanza kuniingia).
Nilitaka niibandike lakini naona Bu'yaka Bu'yaka ameirudisha angalia post. 891.
Hata kama angekuwa mzazi wangu ikiwa anaacha watoto wagonjwa nyumbani hawajali kwa chakula wala dawa yeye kutwa kushinda bar na vimada akija amelewa nitamwambia hivyo hivyo....Aiseeeee...hadi ajirekebishe.Sipendi mnavyodhihaki.
Ivi mzazi wako angekutwa na hali ile, utakua utamtania "aisee" akikuudhi?
Jamani tuwe na busara katika hili.
Angefanya vile kwa kukusudia au kumlinda fisadi flani, ningewaelewa.
Nilitaka niibandike lakini naona Bu'yaka Bu'yaka ameirudisha angalia post. 891.
Hahahahaha hii thread imesavaivu sana! Nadhani wakulu wanaona aibu kuifuta!
Hawawezi kwasababu hatusemi majungu ni hali halisi imetokea na wengi wameona, na kumbuka ukificha ficha kitu ndiyo unakaribisha majungu zaidi mwisho watu watasema alitoa mapovu.Hahahahaha hii thread imesavaivu sana! Nadhani wakulu wanaona aibu kuifuta!
JK 90% Slaa 15% Lipumba 5% - By jeykey Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Naona inakuuma kuona JK apita kiurais
Na mimi nilitaka kusema hivyo, nimekuwa nikianzisha thread na kuweka video zake zinahamishwa na kuletwa thread hii kwa hilo sina tatizo, ila wakiifuta hii thread nitakuwa na kila sababu ya kuanzisha thread mpya ya video sehemu zote tatu, kabla wakati na baada ya kuanguka.Wamejaribu kila trick na wamefeli. Waliondoa you tube video, lakini bado ikawepo na ikarudishwa. Wakafikia hatua ya kuondoa picha (na video kwa mara ya pili) lakini wakuu wakazidi kuziweka. Sasa hivi wanasubiria sababu kidogo tu waihamishe.
mashushushu wangu wanasema kuwa watamtuma MS aje kuivuruga ili wapate nafasi ya kuifunga ... ha ha ha ha
Na wakifanya hivyo, nitaanzisha nyingine ili the whole game ianze upya.
Quinine na Mwafrika mnanipa raha sana! Hakuna kulala wakileta kujua na sisi tumo!