Elisante Yona
Senior Member
- Oct 6, 2009
- 131
- 24
......ishu sio kwamba wasanii wanakikubali CHAMA ..... JK ameshaongea na don wa wasanii ..CLOUDS ...hakuna msaniii ambaye CCM itamtaka akatumbuize imkose....wanawalipa vizuri...na wanawapa deal nyingine ie malaria no more!!!
...siku wakipanda chadema au CUF ....kama kuna msanii atakayedhubutu kupanda basi ni wale ambao ....wameshajitoa muhanga......kama kina mkoloni,john walker,etc ambao hawapo kwenye ufalme wa ruge na kusaga!!
hebu fafanua alikuwa amelala wapi.Nani ale mweleka hapa tunapambanisha hoja mzee alikuwa amelala
Sio Kaugojwa ketu ila magojwa yanayowasumbua watanzania
Kifafa (epilepsy) ni hali ambayo inasababishwa na matatizo katika utendaji kazi wa ubongo. Kwa maelezo zaidi tena katika lay language some hapa chini (Definition of Epilepsy)Na kifafa kinasababiswa na nini.
It's a congenital disease (ugonjwa wa kurithi)
hawezi kupumzika anataka akiingia magogoni apambane na watu waotembelea kona bar
hawezi kupumzika anataka akiingia magogoni apambane na watu waotembelea kona bar
Ongea na Mtikila nasikia anajipanga kwenda mahakamani kudai mahakama imuombe kupumzika hawezi kuendelea na madaraka kwa sababu ya ugonjwa.CCM lichama LIKUUUBWA na kongwe kabisa lenye hazina kuubwa ya viongozi linamng'ang'ania JK mgonjwa hadi nini kitokee? Niwezesheni niende mahakamani nianze mchakato wa kumuondoa JK madarakani kwa mujibu wa KATIBA yetu ya JMT.
Sasa hivi yuko mwanza anadunda Sasa hvi Hakuna kulala
Ongea na Mtikila nasikia anajipanga kunda mahakamani kuwa rais hawezi kuendelea na madaraka kwa sababu ya ugonjwa.
Jamaa Mgonjwa check hizo njemba Mbili zinahakikisha akianguka wanamdaka haraka haraka! Mzee Gharibu naye anaonekana kama mchoma mkaa wa Mwanelumango! Mwaka huu balaa
Si balaa ndogo, ukimwangalia uso ni kama vile umevimba si unene wa afya huo. Shati badala ya kulivaa limemvaa si kama alivyokuwa miaka miwili iliyopita hii ni serious.
Mwaka huu balaa
Ongea na Mtikila nasikia anajipanga kwenda mahakamani kudai mahakama imuombe kupumzika hawezi kuendelea na madaraka kwa sababu ya ugonjwa.
anadunda na kifafa chake!