Masa hivi kifafa ni kejeli enh! Maana naona the way unavyoiweka hii ishu hapa unakuwa unawanyanyapaa wenye matatizo hayo. Unaonaje km tukiheshim utu wa watu? Na pia maisha ni safari ndefu saana.Dr Slaa hana kifafa! Dr Mkwere inajulikana
Kikwete kaanguka akizindua kampeni,Dkt Slaa alianguka alipoteuliwa tu kuwa mgombea,akavunjika mkono.Wote inaonesha wana ugonjwa wa kuanguka anguka.
Hatujui dkt Slaa ataanguka tena wapi.Na ile picha ya dkt Slaa alipoanguka ****** mbona haikuletwa hapa JF,au ndio tatizo la kutegemea source kichama.
Masa hivi kifafa ni kejeli enh! Maana naona the way unavyoiweka hii ishu hapa unakuwa unawanyanyapaa wenye matatizo hayo. Unaonaje km tukiheshim utu wa watu? Na pia maisha ni safari ndefu saana.
Masa hivi kifafa ni kejeli enh! Maana naona the way unavyoiweka hii ishu hapa unakuwa unawanyanyapaa wenye matatizo hayo. Unaonaje km tukiheshim utu wa watu? Na pia maisha ni safari ndefu saana.
Originally Posted by Ami
Kikwete kaanguka akizindua kampeni,Dkt Slaa alianguka alipoteuliwa tu kuwa mgombea,akavunjika mkono.Wote inaonesha wana ugonjwa wa kuanguka anguka.
Hatujui dkt Slaa ataanguka tena wapi.Na ile picha ya dkt Slaa alipoanguka ****** mbona haikuletwa hapa JF,au ndio tatizo la kutegemea source kichama.
Mkuu kuna tofauti kuba kati ya kusema Dr.Slaa ni Padre na kusema Waislaam ni hivi ama vile. Na ktk issue hii sikuona mtu akizungumzia swala lolote la udini isipokuwa tunazungumzia tukio hili..Yeye kesha vaa njuga na kuingiza Uislaam.Haita saidia, wakina MS wakija na propaganda zao a udini nasi tutajibu tu. Wakija kwa issues ni kheri, Acha kumtisha Rev kwa kuamua kuufuta udini hapa huoni sasa kuwa thread za Slaa ni Padri zimepungua kama sio kwisha?
Its real sad. Ni vyema tukiwa waungwana. Leo Dr Slaa kamtumia salam za pole Kikwete km Kikwete alivyofanya kwa Slaa. Sie huku washabiki tunabaki kurushiana maneno ya ajabu na wakati fulani kujenga uadui usio na maana. Tushindane kwa hoja na si kejeli ambazo upande mwingine zinawagusa hata wasiohusika. Naamini JF inawatu walioelimika ambao kwao utu ni suala la msingi. Siasa isitusababishie matatizo mengine. Na pia hata kama kifafa ni ugonjwa let address it in a right manner.mkuu umemsoma huyu!
Originally Posted by Ami
Kikwete kaanguka akizindua kampeni,Dkt Slaa alianguka alipoteuliwa tu kuwa mgombea,akavunjika mkono.Wote inaonesha wana ugonjwa wa kuanguka anguka.
Hatujui dkt Slaa ataanguka tena wapi.Na ile picha ya dkt Slaa alipoanguka ****** mbona haikuletwa hapa JF,au ndio tatizo la kutegemea source kichama.
nadni umeelewa nimemjibu!
Its real sad. Ni vyema tukiwa waungwana. Leo Dr Slaa kamtumia salam za pole Kikwete km Kikwete alivyofanya kwa Slaa. Sie huku washabiki tunabaki kurushiana maneno ya ajabu na wakati fulani kujenga uadui usio na maana. Tushindane kwa hoja na si kejeli ambazo upande mwingine zinawagusa hata wasiohusika. Naamini JF inawatu walioelimika ambao kwao utu ni suala la msingi. Siasa isitusababishie matatizo mengine. Na pia hata kama kifafa ni ugonjwa let address it in a right manner.
Mkuu kuna tofauti kuba kati ya kusema Dr.Slaa ni Padre na kusema Waislaam ni hivi ama vile. Na ktk issue hii sikuona mtu akizungumzia swala lolote la udini isipokuwa tunazungumzia tukio hili..Yeye kesha vaa njuga na kuingiza Uislaam.
Wakuu zangu msifikirie kuna mtu anawasoma hao kina MS zaidi ya kundi lenu wenyewe. Amini maneno yangu ni mada chache sana alizoanzisha huyo MS nimewahi kuzisoma au hata kupitia tu. Hivyo hutegemea ugonvi wenu mnaupeleka huko mnakokutana lakini kila mnapokuja huku ambako huyu MS hayupo na kuendeleza kutukana waislaam woote ni kutuvunjia wengine heshima. Na ukweli ni kwamba, mnaweza kuki cost chama kwa maneno yenu..
Huo ni mfano mmoja! MS na jamaa zake wamekuwa wakiharibu mijadala hapa lakini naona watu wengi wa mrengo wako wamekuwa na makengeza. Mambo ya kunyatia kipofu yafike mwisho, kuna kundi la wadini hapa kila kitu kilikuwa wakristo, maaskofu na slaaa, Tzania haiongozwi tokea vatican and all those of kinds. Kama wewe ulikuwa husomi wengine tumezisoma na sasa ni jino kwa jino. Zikija hoja basi tutajibu hoja. Viroja na sisi twaweza. Si kwamba alikuwa anavunjia heshima Rev Masa peke yake bali kudhalilisha wakristo wote Tanzania. KIbaya zaidi yeye ni MOD na amekuwa akipewa taulo na mbereko, lakini kwa sasa tutakula sahani moja.
Nilichelewa kuisevu tubandikie kama utaweza, Aiseeeeeee.Wenye akili tuliishaisave tulijua hili lingefuata ......iseeeeee
mzee wangu masa,
inaonekana kuna watu wameanza kuona udini baada ya ms kuanza kujibiwa hapa.
kabla ya hapo, watu walikuwa kimya tu.
Nilichelewa kuisevu tubandikie kama utaweza, Aiseeeeeee.
Nimekuelewa na mimi nilijua hilo toka mwanzo hata kabla hujaja kunielewesha, lakini wewe kitendo cha kumuita Michuzi Traitor haukuwa sahihi kabisa, kwasababu michuzi hana uhusiano na JF wala hatumlipi kutumia picha na clips zake. Kwa hiyo haukuwa na sababu ya msingi kumshambuli michuzi, na ndicho mimi nilikuwa nataka unipe sababu za kutosha kama unachosema ni sahihi. Umemuita UWT na pia Traitor nadhani hizo sio kauli nzuri. Lakini ulileta hoja nzuri ya kuwa JF iwe na independent reliable sources, hilo ni jambo zuri lakini unapoanza kuattack personalities nilishindwa kukuelewa. Hapo naomba unieleweshe zaidi sijakuelewa.Tumia busara kidogo ili uweze kuelewa.Aliye-upoload hiyo clip youtube ni Michuzi.Sasa kama huna uzoefu na uploading and hotlinking huwezi kuelewa nachoongea.Anyway,ngoja nikupe shule ya chapchap.Ukiweka video kwenye hosting site kama youtube kisha mie nikaikopo kwenye tovuti yangu,ukiiondoa basi na kwangu itakuwa haipatikani.Only way ya ku-access ni kama mtu mwingine alii-save somewhere.Kwa kifupi,Michuzi kaondoa clip yake,na hivyo kila aliyekopi clip hiyo from him hataweza kuiona.
Umeelewa sasa?
Mkuu MS huanzisha mada zake mwenye huwa haingii mada zisizokuwa za kishoga shoga. Sasa maadam mnapenda kusikia matusi ya kishoga na kutiana vidole vya macho, hakuna mtu anayewalaumu wala kuwaingilia. tatizo ni pale ushoga huo unapokuja hata kwenye vijiwe vya wanaume rijal.. na bila shaka sisi tunaweza tofauitisha kati ya mwana-mme/mke na shoga hivyo hatuna makengeza ya hoja. Mtu kesha fungiwa bado tu nyie mnaendelea kwa madai ya MS. jamani acheni Ujinga...Huo ni mfano mmoja! MS na jamaa zake wamekuwa wakiharibu mijadala hapa lakini naona watu wengi wa mrengo wako wamekuwa na makengeza. Mambo ya kunyatia kipofu yafike mwisho, kuna kundi la wadini hapa kila kitu kilikuwa wakristo, maaskofu na slaaa, Tzania haiongozwi tokea vatican and all those of kinds. Kama wewe ulikuwa husomi wengine tumezisoma na sasa ni jino kwa jino. Zikija hoja basi tutajibu hoja. Viroja na sisi twaweza. Si kwamba alikuwa anavunjia heshima Rev Masa peke yake bali kudhalilisha wakristo wote Tanzania. KIbaya zaidi yeye ni MOD na amekuwa akipewa taulo na mbereko, lakini kwa sasa tutakula sahani moja.
Nawashangaa sna nyie watu kutafutana uchawi.Yawezekana, lugha zinafanana...makosa ya ki syntax na ki semantic yanajionesha... Nimembeep kidogo akaingia mtegoni