M
MegaPyne
Guest
Habari ambazo Tanzania Daima Jumapili imezipata, zimeeleza kuwa Rais Kikwete ambaye tangu alipoingia madarakani, alijenga tabia ya kukutana na Watanzania walio nje ya nchi kila alipofanya ziara zake ughaibuni, safari hii amedaiwa kukataa kukutana na Watanzania wanaoishi nchini Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka mtandao wa Jambo, Rais Kikwete anadaiwa kukwepa kukutana na Watanzania wa huko ambao walikuwa wakitaka kupata ufanunuzi kutoka kwake kuhusu mwenendo wa mambo ulivyo hivi sasa katika serikali anayoiongoza.
Kwanini huo mtandao msiuseme. Siku ingine muandike Jambo Forums au atleast JF
Inamaana hii news yete iliyoandikwa hapa TZDaima wameitoa hapa.