Kikwete a smart Man that I know

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,090
10,067
Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.

Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.

Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?

Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.

Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.

Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.
 
Mkuu umetulia kwenye hoja zako,big up,ni kichaa tu ambaye hatakubaliana na wewe
 
Nitabakia mpinzani daima mpaka pale ccm itapoondoka. Mfumo ccm umeota mizizi, mtu mmoja aitwae Pombe hawezi ufumua. Naamini maendeleo yatakuja kwa kutoruhusu chama kimoja kudumu madarakani muda mrefu.
Twende pamoja Mkuu.
 
Msimkatishe tamaa, na mamombi tuna mzidishia kama
alivyotukumbusha jana.
 
Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.

Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.

Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?

Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.

Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.

Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.

Ina maana hii ni thesis yake ya kupatia huo udaktari au?
 
Huu ulioandika ni upumbavu.

10 yrs kikwete kaimalizia angan kama popo na kwa gharama zakutisha- katutia hasara isiyo na kiwango.

This man (Maguful) ndo kwanza katoa hotuba na baraza lake hajaunda.

Why unampigia unajim as if ameshindwa utekelezaji kama alivyofeli mkwere

Elimu hoyoooo kabisa

Afya hovyoooo kabisa

Viwanda na biashara tumekuwa shamba la bibi kila kichaa anajivunia nakubebaba atakacho

Madawa ya kulevya ndo usiseme

Usmati wa mkwere upo wapi mpuuzi wewe zaid yakunua nakucheka hovyo tukiumizwa na makodi makubwa na yeye kukimbizia busha amerika baba zetu wakifia Muhombili

Grrrrrrrrrry this is a Stupidy thread so far to come accross my eyes.
 
Given, ni vizuri kuwa sckeptic katika mambo haya. Lakini hatua ya kwanza katika mafanikio ni utashi. Magufuli hutam fault kuwa hana utashi wa kubadili mambo kama alivyokuwa JK- business as usual.
We huangalii the bigger picture ndiyo maana unamsifu JK. JK alikuwa a failed president. Hata aliyomudu kuyafanya utakuta hayakuwa katika mipango na sera bali kuvumburuka tu. Matokeo yake amefanya mambo mengi ambayo si ya kimsingi na kuacha mambo yaliyo priority.
Mi sijali sana kuwa hakutaja vyanzo vya fedha. Kwa kweli kubana matumizi na kukusanya kodi pekee kunaweza kutimiza nusu ya miradi yake. Usisahau,wafadhiii wanapomwona rais mchapakazi na serious hu chip in. Angalia Rwanda.
 
Mbona liko wazi hilo la kuchukua viwanda na mashamba kwa mujibu wa sheria mmiliki wa shamba anatakiwa alitumie kuzalisha for more than 2/3 (or some quotas) at anytime vinginevyo serikari inaweza kulikuchukua kama awezi fanya hivyo kwa muda.

Swala la viwanda kwenye kampeni pia waliliwekea wazi moja ya makubaliano ya ubinafsishaji ilikuwa kuendeleza shughuli za kiwanda na wakishindwa kutimiza vigezo hivyo wanaweza nyan'ganywa sasa watu wamenunua wamevuna mashine na kuviwacha viwanda kama magofu kuna mjadala tena hapo kuhusu serikari kuvichukua kwa mujibu wa makubaliano.

Hila hili la viwanda vya private sector kukua kwa wingi au kuvutia wawekezaji bila ya kubadilisha mazingira ya policies zilizopo za kibiashara au kuangalia costs za kufanya biashara Tanzania na majirani zetu sidhani kama litakuwa jambo rahisi.

Bureaucracy si kizuizi pekee tuu; the environment is just not business friendly and it does not foster competition which is necessary to cutting supplementary services costs of doing business particularly haulage; a lot of taxes need to be reviewed, a lot of encouragement is needed for people to invest in small businesses with start up tax incentives. Without those measure i dont see us being capable to overtake Kenya any time soon in terms of luring FDI into the country necessary for job opportunities the government is seeking to create.
 
Of course everybody knows what was his point.Problem was how to deliver it infont of his mentor.Narration can'n be a first speech of a new
presida.Give me a break man?
 
Pamoja na hoja zako nzuri lakini umekosea kufananisha hotuba za aliekuwa anaendelea majukumu na yule anayeanza. Sina uhakika, lakini naamini hotuba ya JK bungeni mwaka 2005 hakusema kama ulivyoandika bali aliongea kwa ujumla.

Pili, kwa mfano ngozi zote ambazo ni quality zinasafirishwa nje ya nchi halafu wao wanaleta bidhaa za ngozi ambazo tunanunua kwa bei ya juu. Pale morogoro kuna kiwanda cha bidhaa za ngozi ikiwemo viatu kimetelekezwa. Hata hvo kuna wazee wastaafu wanajikongoja wanatengeneza kwa kutumia poor technology. Sasa tukiwekeza pale vitatoka viatu safi na bora zaidi kwa bei nafuu.

Hivyo, tusiwe wachongaji tumpe moyo. Nimepita sehemu kutafuta huduma za ofisi ya serikali nikakuta wapo busy wameagizwa wapeleke Ikulu mpango kazi wa kutekeleza masuala ya kilimo, uvuvi na mifugo ambayo italeta mapinduzi ya viwanda.Ile hotuba yake alivyosisitiza kuendeleza sekta hizo, nikaona the man is serious.
 
Watu waliozoea kupiga mpunga wa nje nje kupitia safari za nje na ufisadi watamkumbuka Kikwete daima. Daima watamchukia Magufuli kwa vile amekata mirija yao ya kifisadi.
 
Pamoja na hoja zako nzuri lakini umekosea kufananisha hotuba za aliekuwa anaendelea majukumu na yule anayeanza. Sina uhakika, lakini naamini hotuba ya JK bungeni mwaka 2005 hakusema kama ulivyoandika bali aliongea kwa ujumla.

Pili, kwa mfano ngozi zote ambazo ni quality zinasafirishwa nje ya nchi halafu wao wanaleta bidhaa za ngozi ambazo tunanunua kwa bei ya juu. Pale morogoro kuna kiwanda cha bidhaa za ngozi ikiwemo viatu kimetelekezwa. Hata hvo kuna wazee wastaafu wanajikongoja wanatengeneza kwa kutumia poor technology. Sasa tukiwekeza pale vitatoka viatu safi na bora zaidi kwa bei nafuu.

Hivyo, tusiwe wachongaji tumpe moyo. Nimepita sehemu kutafuta huduma za ofisi ya serikali nikakuta wapo busy wameagizwa wapeleke Ikulu mpango kazi wa kutekeleza masuala ya kilimo, uvuvi na mifugo ambayo italeta mapinduzi ya viwanda.Ile hotuba yake alivyosisitiza kuendeleza sekta hizo, nikaona the man is serious.
Mkuu, umeongea vema kabisa. Mafisadi wanaweweseka na wanatafuta pa kutokea ili kumchafua Magufuli. Hawatafanikiwa. Tunazidi kumuombea kwa Mungu ili ampe nguvu na utashi wa kupambana na mafisadi na kurekebisha mambo yote yaliyoporomoka wakati wa utawala wa Kikwete
 
Ninachoweza kusema kwa sasa ni, Huyu ni mtu anaye sema kitu ukimuangalia usoni unaona kwa hakika anamaanisha. Tusubiri muda uamue.
 
Sasa mtu unapojiita mwanamabadiriko alafu unamsifia JK tukueleweje? Hivi hii nchi unafiki utaisha lini? Yani leo JK kawa mzuri? Ajabu hii hata shetani anatushangaa Watanzania kwa Unafiki!!
 
Back
Top Bottom