Kikuu vs AliExpress

Kaka naimani utakapokuwa umelipa Kodi ya pale posta ndio inakuwa umemaliza kila kitu,,,na kwa upande mwingine kwa ufahamu wangu Hawa wanaotransport naimani wanakuwaga tayari washalipia Kodi wakati wana import bidhaa ulioagiza.
Nashukuru l,,,ufahamu wangu ndio huo Ila kwa maelekezo zaidi mcheki pm mwl rtc
Mkuu, hapo kwenye Kodi ukiondoa hayo malipo vipi kuhusu Kodi za TRA hasa Kama nikiagiza laptop au simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nirahisi tu kaka,unatakiwa unachukua namba ya order yako/order namba alafu unaenda kwenye hiyo site ya 17track utakuta kunasehemu inakuomba ujaze hiyo order namba unajaza hapo alafu kitatokea sehemu moja kwa chini imeandikwa Track utaiclick Kisha utapata taarifa za mzigo wako bila wasi wasi Kaka
Kama utakuwa hujaelewa vyema njoo PM
Inog01
Sci_fimovies
Mwl.RCT
kamati yamaamuzi magumu
[USER=458912]mkuu mimi
..

Na wengne wote kwanza asantenii...

Naomba mnieleweshe
Hii tracking number na jisni ya ku track,
Ni nini na inakuwajee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAOMBA KUJUA JINSI YA KUNUNUA KITU ONLINE KUPITIA ALIEXPRESS....NI TARATIBU GANI ZA KUZIFUATA? MAANA NATAMANI SANA KUNUNUA VITU HUKO ILA SIJUI NJIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakikisha una app yao,,,mbili una MasterCard ambayo inauwezo wakufanyà online payment either ukasajili kwa mpesa/Airtel MasterCard au kwa kadi ya benki ukiwa navyo hivyo vitu ni rahisi tu,,,njoo nikuelekeze swaiba
NAOMBA KUJUA JINSI YA KUNUNUA KITU ONLINE KUPITIA ALIEXPRESS....NI TARATIBU GANI ZA KUZIFUATA? MAANA NATAMANI SANA KUNUNUA VITU HUKO ILA SIJUI NJIA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Mkuu sio oreder number inayotumika. Inayotumika ni tracking number.
2. Mbali na 17track,kuna hi inaitwa cainiao global order tracking. Ni nzuri Sana na inakupa uchambuzi kwa kina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilinunua kikuu simu samsung ni fake
Haiwaki
Nifanyaje wananizingua ata ku return
Ni sehemu gan nnaweza nkapata msaada wa kisheria katika izi organization za serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hapo umeshazurumiwa tu.. kuwa mpole chukua kama somo ilo na wakati mwingine ukitaka kununua bidhaa inayozidi 30k tumia Ali express na platform nyingine ambazo ni safe
 
Mfano mimi natumia sanduku la posta la company, mzigo ukija itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mimi natumia sanduku la posta la company, mzigo ukija itakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika posta utataarifiwa ukauchukue mizigo wako ndugu.
Watakutafuta kupitia namba ya simu uliyoandika kwenye shipping address yako.
Sanduku la posta la company yako ni njia tu ya mzigo kukufikia wewe na sio kwamba mzigo wako watapewa viongozi wa company yako ili wakuletee.
Posta watakutafuta wewe binafsi kupitia namba zako.

Nimekujibu kwa uzoefu mdogo nilionao.
Wengine wataongezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikuu ni bora
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe hapo umeshazurumiwa tu.. kuwa mpole chukua kama somo ilo na wakati mwingine ukitaka kununua bidhaa inayozidi 30k tumia Ali express na platform nyingine ambazo ni safe
Aisee
 
Mimi nakushauri Kikuu,kwanza kikuu hawana mambo mengi muhimu no yako ya simu ,email adress yako na eneo unaloishi.wao watakuletea bidhaa yako uloagiza mpaka nyumbani kwako tofauti na hao wengine eti mpaka uende posta au sijui wapi!tena uzuri wa kikuu unalipa kwa mitandao tu kama tigo pesa na mitandao mingine,ila shida yao mzigo unachelewa uwe mvumilivu.
Ali express nakushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Yap kuna bidhaa kama charging board za lithium battery , sijui amplifiers , speakers zipo kwa wingi sana huko na ndo vitu naeza oda ila kikuu hakuna anaeuza hivo vitu thou kwa sasa kikuu ni rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…