Sci_fimovies
Member
- Sep 15, 2019
- 43
- 98
Unachukulia posta(Post office) watakutumia message ya kukupa taarifa na kodi ya kulipia ambayo utalipia benki ya CRDB watakupa meseji kama hiiMkuu unachukulia posta wapi..?
Mimi sina uzoefu kabisa nasijui hata nianzie wapi..
Ndioniko.zenji vipi na hapa zenji naweza agiza vitu nje mkuu kupitia posta ama..?
Nimekutumia link PMNaangalia aliexpr hapa nasearch samsung A40 sizioni hzo simu sijui nakosea wapi
Nimejaribu kusearch haiji mkuu,zinakuja protector for samsumg A40Nimekutumia link PM
Mbna mi naziona izo apoNaangalia aliexpr hapa nasearch samsung A40 sizioni hzo simu sijui nakosea wapi
Naangalia aliexpr hapa nasearch samsung A40 sizioni hzo simu sijui nakosea wapi
Acha uongo kaka Aliexpperss imekuja juzi tu apa na ww wasema miaka 10 daaahhh kwel ujuaji so mzuriKwa mimi ni zaidi ya miaka 10 sasa.
Zaidi ya miaka 10 natumia huduma za shirika la Posta Tanzania.Aliexpperss imekuja juzi tu apa na ww wasema miaka 10
Jifunze kusoma kuelewa na kutafakari neno kwa neno kabla ya kujibu.Acha uongo kaka Aliexpperss imekuja juzi tu apa na ww wasema miaka 10 daaahhh kwel ujuaji so mzuriView attachment 1269765
NIMEZOMA kakaZaidi ya miaka 10 natumia huduma za shirika la Posta Tanzania.
Sijazungumzia miaka kumi ya aliexpress
NDIO SABABU NIKAKUULIZA HAPO JUU JE UNAZOMA NENO KWA NENO NA KUELEWA KILE MTUA AMEANDIKA??????
Asante kwa ushauri mkuu..Jifunze kusoma kuelewa na kutafakari neno kwa neno kabla ya kujibu.
Hapa nikakujibu mimi ni mwaka wa kumi (10) sasa.Mi natumia posta mwaka wa 3 sasa
Ndugu, Hiki ulichokiandika inanipa majibu hayaAsilimia kubwa ya wenye masanduku ni wazee
vijana wachache sana
- Inashauriwa uwe na sanduku la posta ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza au kupoteza mzigo wako.
- Wapo waliopokea mzigo kwa kuweka tu namba ya simu/ jina la wilaya yake/ mkoa - Ila sio njia ya sahihi na aishauriwi kabisa LBDA kama unatumia huduma ya EMS hapo ondoa shaka.
- Pia iwapo utatumia njia za haraka za usafirishaji kama DHL hapo sanduku la posta halihitajiki, ni physical address yako na namba ya simu inatosha.
Ndugu, Hiki ulichokiandika inanipa majibu haya
- Upeo wako bado ni mdogo
- Hufahamu umuhimu wa kuwa na sanduku la posta hadi sasa.
Kiufupi ni muhimu kuwa na sanduku lako la posta hata kama hutumii kwa manunuzi mtandaoni.
Nakupa mfano rahisi
- Huwezi kufungua kampuni Tanzania bila ya kuwa na sanduku lako posta.
Hitimisho
- Tumia muda kujifunza zaidi hapa Jamiiforums utajua mengi na utafunguka zaidi kimawazo na kimtazamo.
- Pitia tena huu uzi www.bit.ly/101buy4me soma post ya kwanza tu, Utaelewa nini hasa namaanisha.
- hatuko hapa Jamiifirums kubishana kuonyeshana ujuaji au kuleta dharau - Haya yote hayajengi na hayana faida.
Nakutakia siku njema na hii ni Post yangu ya mwisho kwenye huu uzi, kukujibu wewe.
- Fika posta iliyokaribu nawe, utapewa maelekzo ya nini na nini kinahitajika.kinautaratibu gani naweza kuutumia niweze Sajili sanduku langu la posta
Asante kwa ushauri mkuu..
Nisamehenilitaka tu kukuchangamsha
Unajua nn ... Mwl ni kwel nina upeo mfupi.. Ndo maana natania na kukubishia ili ww mwenye upeo mkubwa ukasirike unipe ELIMU UlonayoNdugu, Hiki ulichokiandika inanipa majibu haya
- Upeo wako bado ni mdogo
- Hufahamu umuhimu wa kuwa na sanduku la posta hadi sasa.
Kiufupi ni muhimu kuwa na sanduku lako la posta hata kama hutumii kwa manunuzi mtandaoni.
Nakupa mfano rahisi
- Huwezi kufungua kampuni Tanzania bila ya kuwa na sanduku lako posta.
Hitimisho
- Tumia muda kujifunza zaidi hapa Jamiiforums utajua mengi na utafunguka zaidi kimawazo na kimtazamo.
- Pitia tena huu uzi www.bit.ly/101buy4me soma post ya kwanza tu, Utaelewa nini hasa namaanisha.
- hatuko hapa Jamiifirums kubishana kuonyeshana ujuaji au kuleta dharau - Haya yote hayajengi na hayana faida.
Nakutakia siku njema na hii ni Post yangu ya mwisho kwenye huu uzi, kukujibu wewe.
Kupitia ubishi huu na majibizano najifunza kituunamchamsha mwali