vita ya wanasayansi ni mbaya Sana, sayansi tunayoiona Leo na kuiona babukubwa ,ingekuwa Mara mia zaidi ya hapa,sema Kuna wanasayansi wengine walifanyiwa figisu na matajiri ,na wengine hata kuuawa,so hii ilifanya baadhi ya wanasayansi kutokutoa nje baadhi ya gunduzi zao ,either kwa wao kuhofia usalama wao,au kwa kulinda usalama wa ma donors wao, pili hawa wanasayansi binafsi hawakuwa na uwezo kifedha ku ran wao wenyewe tafiti zao na gunduzi zao,walikuwa wananunuliwa au kufadhiliwa na matajiri wakubwa kwa wakati huo,hii kitu ilipelekea bifu zakutosha za kambi za watafiti!! Hata akina davinc , Newtown, Archimedes,Tesla n.k wamekufa na gunduzi nyingi tu bila kuzi toa nje.....kwa kuhofia hizi bifu za matajiri !!!, mfano huu umeme wa nyaya ulitakiwa uwe outdated miaka ya 90's huko ,hv ss ingekuwa ni wireless tu ,sema ndo hivyo bifu za kibiashara ,baina ya matajiri waliokuwa wanawafashiri hawa wanasayansi!! Hii dunia isingekuwa hivi ilivyo tunavyoiona Sasa, hata hiyo sayari ya Mars wanayohangaika nayo akina Nani sijui wale Sasa hivi tayari ilitakiwa iwe imerudishiwa uhai wake,na tayari ilitakiwa iwe na wanadamu kule ,waliotoka hapa kwenda kuishi kule..... na hiyo sayari miaka ijayo itakuwa ni sayari yenye maisha ya kifahali Sana na sayansi ya hali yajuu!! hii dunia itakuja kukaliwa na viumbe duni Sana ,na maskini . Yajayo yanafurahisha Sana!