Huyu jamaa aliacha watoto watatu ila pia inavyosemekana huyu jamaa hakua Good parent sidhani kama alikua anaconsider malezi ya watoto vizuri kuna mwanaye mmoja alifariki akiwa na mwaka mmoja ila wakati anazaliwa alikua na developmental disability inaweza kuwa alikua na usonji (Autism), Down syndrome na mengineyo , wengine wanasema huyo dogo alikuja kuchukuliwa na familia nyingine ikamtunza akaja kufariki miaka ya 90. Kwa hiyo Eistein mwenyewe hakua mfuatiliaji wa familia yake [emoji1][emoji1]
Mwingine alipata Schizophrenia wakati ana miaka 20 wakati huo jamaa akahama zake nchi sikumbuki alienda wapi ndo kulikua na vita ya waNazi ,dogo nae hakutoboa akafariki ! Mwingine alikua ni professor wa Hydraulic Engineering kwenye chuo kimoja huko Calfonia Marekani !!