Ludanha
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 552
- 645
TrueHakika yaani eneo lenyewe jinsi lilivyo afu kuwepo na askari 200!? Hapana asee, hapa jamaa atakuwa alitumia codes zao ambazo sie hatuwezi kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
TrueHakika yaani eneo lenyewe jinsi lilivyo afu kuwepo na askari 200!? Hapana asee, hapa jamaa atakuwa alitumia codes zao ambazo sie hatuwezi kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
kawatishe watoto wenzako na mimi ni sehemu ya mfumo huu mbovu,, tuna jeshi dogo sana na la ovyo sana mimi nipo kwenye vyungu huku najua nikisemacho,,,,Anaeleta hii mada humu ajiulize kwanza kuhusu hatma ya yule mwandishi habari aliyeandika hbr za kuibwa kifaru cha Jeshi Dar mwk uleee
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa ni ''private'' tu weyekawatishe watoto wenzako na mimi ni sehemu ya mfumo huu mbovu,, tuna jeshi dogo sana na la ovyo sana mimi nipo kwenye vyungu huku najua nikisemacho,,,,
mkuu naona umeamua kunichekesha wikiendi hiimimi ni baba yako nilie kuzaa na kukutelekeza kule kijijini
Anadanganywa kama kawaida kwa Tanzania hii, mbona wafanyakazi tu alidanganywa mpaka akaamua kuhakiki upya wafanyakazi, au umesahau ishu za moshahara hewa?Rais adanganywi.
Mkuu kula like yangu.Acha Kufanisha JWTZ na KDF wewe
Ninavyojua Kigoma Na Tabora kuna Kambi Kubwa sana za JWTZ Binafsi Wakati nasoma Tabora Boys kwa miaka Kama 6 Ule Mji Unakutana na wanajeshi tuu Kutwa Nzima
Kuna kambi kama Tatu pale Tabora nawaamia JWTZ hata wakiwa 100
View attachment 546702
Unacho kijadili hukijui
hivyo Akili yako ilipo ishia ndio uhalisia unapo anzia
hutapata majibu
Tanzania ipo Imara
hakuna wakutuchezea Ktk mipaka yetu yote
Teknilojia hiyo tunayo?!
!
Dunia imebadilika. Siku hizi ulinzi sio maguvu ni teknolojia tu. Kuwa na wanajeshi wengi kama kwenye picha za wavetenam haikuhakikishii ulinzi madhubuti. Ukute huo mpaka unaweza kulindwa na watu ishirini tu wenye teknolojia na vifaa sahihi. Wale wapasua mawe kwa vichwa hawana nafasi katika dunia hii ya unmanned aerial vehicles
Teknilojia hiyo tunayo?
cocochanel ktk ubora wakeKama karopoka hukutaka kujua kwanini umekuja kuyaandika humu au hujui ndio unatenda zaidi ya yeye!?
Acha KUROPOKA unaona mwenyewe siiiiiifa kuandika kwa vihisia vyako. Nchi nzima unajua wanajeshi wapo wangapi? Na wamegawanywaje??? Taratibu zakijeshi unazijua ktk kuwagawanya?? Au unatoa bandiko tu ili watu wacomment?? Haya banaKatika mazungumzo yake Rais Magufuli na wananchi leo Mjini Ngara, amemuuliza mkuu wa kambi ya jeshi iliopo kwenye mpaka unao unganisha mataifa mawili ya Burundi na Rwanda kuwa kikosi chake kina wanajeshi wangapi?
Mkuu huyo wa kambi kwa kukiuka Taratibu pia na yeye akaropoka kuwa wapo takribani 200. kwanza taarifa hii ni hatari kwa Taifa kwani siku zote taarifa za askari wa taifa hasa hasa wanajeshi huwa ni siri sana.
Pia vikosi vya vingi vilivyopo kwenye mipaka huwa ni vikosi vikubwa kwendana na mahitaji kiukweli kwa nchi hii kuwa na askari jeshi 200 kwa mpaka wenye nchi mbili ni dharau kubwa kwa watanzania.
Askari jeshi wengi wamejaa Dsm na wanashinda "kona bar, Afrikasana, Buguruni- kimboka" kazi kutembea na madada poa.
Je, mishahara wanayolipwa ni kwa kazi ipi waifanyayo?
Good bro!
!
Dunia imebadilika. Siku hizi ulinzi sio maguvu ni teknolojia tu. Kuwa na wanajeshi wengi kama kwenye picha za wavetenam haikuhakikishii ulinzi madhubuti. Ukute huo mpaka unaweza kulindwa na watu ishirini tu wenye teknolojia na vifaa sahihi. Wale wapasua mawe kwa vichwa hawana nafasi katika dunia hii ya unmanned aerial vehicles
Tatizo upo kimhemko na ushabiki wakushindana kuandika hujui chochotee ngoja tuendeleee kukujazia comment ndicho unachokitaka ila jeshi hulijui kiundanimkuu Tecknolojia ipi kwa Tz jeshi wanatumia? kupasua mawe kwa kichwa? kuvunja mbao butu kwa migongo? ama kuvuta IVECO kwenye rami?
Upo kwenye kambi kama naniwewe unaishi mpakani mimi nipo kwenye kambi wewe unajua nini zaidi ya kutongoza vibinti vya burundi na rwanda?