Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,305
Naam ya kale ni dhahabu ndugu yangu kila mmoja akiamua kuelezea hapa alikuwa wapi waweza kucheka mpaka mbavu zikauma wacha tukumbuke vya kwetu.Naona WAZEE mnakumbushana magazeti gazeti letu.Vijana wa siku hizi hawasumbuk na gazeti,kila kitu kipo kiganjani(simu)