CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Sijamuona ndumilakuwili (mwizi na tapele maarufu). Sijamuona Mzee kifimbo cheza (Mzee Wa kurekebisha lugha mbovu za kitaa). Sijamuona Doctor Love (kipenzi cha wadada Wa sani)...Golden boy Mapungo sijui yupo wapi sasa hivi alikuwa hatari sana alicheza hadi Chelsea
Hao ni born town mkuuSijamuona ndumilakuwili (mwizi na tapele maarufu). Sijamuona Mzee kifimbo cheza (Mzee Wa kurekebisha lugha mbovu za kitaa). Sijamuona Doctor Love (kipenzi cha wadada Wa sani)...![]()
![]()
Mapungo hayupo penye kikosi hicho yeye alikuwa gazeti la bongo.Apo namwona kipepe na madenge Mapungo mbona simuoni
Hui Hui na hondo hondo usisahau kuwajumuisha hapo nyanda alikuwa madenge hicho kikosi kingeendelezwa wengi wangecheza soka ng'amboAah namwona team captain KIPEPE jamaa alikuwa anaingia kwenye game akiwa na rungu. Angalia mkononi kwake kuna badge ya captain. Hahhahahah
Mtangazaji sukununu....
Dah kitambo kweli aisee
Aisee!! Namuona mjomba Kobelo, Meko, Komredi kipepe, Madenge, Chepe nk, hawa jamaa walikuwa noma sana, nakumbuka yale mazoezi yao ya kuchanwa na wembe na kupita kwenye mto wenye mamba wakali, loh!!
Bob mazishiTuwekee na picha ya timu pinzani ya ma - Born Town! Akina Sokomoko, Ndumilakuwili, Pimbi, Mzee Sani....