Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

Sijamuona ndumilakuwili (mwizi na tapele maarufu). Sijamuona Mzee kifimbo cheza (Mzee Wa kurekebisha lugha mbovu za kitaa). Sijamuona Doctor Love (kipenzi cha wadada Wa sani)...[emoji13] [emoji13]
Mkuu hao walikuwa bontown
 
Ila tulikuwa ni wajinga sana,vitu vya kufikirika lakini tulikuwa tunafutilia kama kweli vile,,daaah zamani raha sana[emoji23] [emoji23]
 
Ila tulikuwa ni wajinga sana,vitu vya kufikirika lakini tulikuwa tunafutilia kama kweli vile,,daaah zamani raha sana[emoji23] [emoji23]
Zamani nilipokua mdogo eti nilikua nafikiri kua Madenge ni dogo flani anayeishi Dar 😀😀
 
usiombe upate gazeti la Sani wa kwanza, watu napangana kuomba akimaliza Ally ni mimi, akitoka John ni mimi.
Halafu mwenye gazeti kwambwembwe analiandika jarida jina lake kwenye front page kwa kalamu ya Biki ili watu wajue kua yeye ndio mmiliki "aliyenunua" lile jarida,Daah! kitambo sana.
 
Sani, bongo, tabasamu, Daniel, heko, saying nk, watanzania tulikua tunasoma enzi hizo bwana. Asante kwao waliokua wanazalisha hizo gazeti kwa sababu waliweza kutuburudisha, kutuelimisha na kutuliwaza pale tulipokua na stress
 
tulikuwa tunasoma udaku.

nilikuwa natamanigi nikione kile kikosi cha bush *.
kumbe niwakufikirika tuu.
 
Sani, bongo, tabasamu, Daniel, heko, saying nk, watanzania tulikua tunasoma enzi hizo bwana. Asante kwao waliokua wanazalisha hizo gazeti kwa sababu waliweza kutuburudisha, kutuelimisha na kutuliwaza pale tulipokua na stress
Umesahau Mcheshi.
 
Mama Kisebengo wa Mipango mnamkumbuka? Alikuwa muuza gongo maarufu na wateja wake wakuu walikuwa Sokomoko na Ndumulakuwili.
 
Mkuu nakumbuka gazeti la Busara ndio lilikua mpinzani wa Sani enzi hizo.
Yeah! Main character alikuwa Mzee Busara. Nilikuwa napenda sana pages za Obi, Linda na yule dogo mjanja alikuwa anaitwa nani vile?
 
Mtaani kijarida/gazeti moja kinaudumia watu 500 mpaka kichakae
 
Back
Top Bottom