Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

Hui Hui na hondo hondo usisahau kuwajumuisha hapo nyanda alikuwa madenge hicho kikosi kingeendelezwa wengi wangecheza soka ng'ambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika wangefika mbali sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aah namwona team captain KIPEPE jamaa alikuwa anaingia kwenye game akiwa na rungu. Angalia mkononi kwake kuna badge ya captain. Hahhahahah

Mtangazaji sukununu....
Dah kitambo kweli aisee
Kiukweli hayo mambo yalikuwa matamu balaa ukienda tm ya bon town unakutana na kina ancle nchumali.
 
Sijamuona ndumilakuwili (mwizi na tapele maarufu). Sijamuona Mzee kifimbo cheza (Mzee Wa kurekebisha lugha mbovu za kitaa). Sijamuona Doctor Love (kipenzi cha wadada Wa sani)...[emoji13] [emoji13]
Hao wote uliowataja ni maborn town..
Hicho kikosi hapo ni mabush star..
Namuona Huihui hapo kati...
 
Back
Top Bottom