The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,499
- 122,852
- Thread starter
- #81
Mimi nilikua napenda yale madongo wanayopeana wakati wa game,
Wale wa vijijini wakiwatuhumu wa mjini kuwa ni warembo na ni walaini kama watoto wa kike, wa mjini wakiwatuhumu wa vijijini kua ni wachafu na ushamba wao.
Bila kusahau mazoezi makali ya Bush Stars,daah!