Kikojozi

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
[h=6]Unadhani watu huwa wanakuwaje Vikojozi??umeanza kulala usingizi mtamu unaanza mara mkojo nao unakuja gafla,halafu kwenda kukojoa unaona uvivu inabidi upotezee,unadhani nini kitafwata?halafu sometimes unakuta kama unaota vile unakojoa halafu unarusha mkojo mbaliiiiiii,kumbe siyo ndoto unajikojolea live.


[/h]
 
sijui umefikiria nini hadi ukaanzisha huu uzi.

Ndiyo problem za mtu mzima kulala useja !
Mh. Umelala man alone nini ?
Any way sidhani above 18 ambao ni vikojozi kama wapo.
Na wakiwepo sasa hiyo ni full ugonjwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom