SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
- Thread starter
- #21
Nilikuwa najiuliza hizi mada zako bwana SAYANSIKIMU sasa nimepata majibu ni kwa sababu uko under 18!!Hatuwezi kuwaacha tutakuwa hapa hapa tunawaangalia,mkitaka kupotoka tunawachapa!Kumbuka nyie ndio wababa na wamama wa kesho tusipowalea vizuri miaka ijayo tutakuwa na kizazi hovyo!Tena hakikisha leo unafanya homework yako wewe SAYANSIKIMU,na uwahi kulala,umesikia???!
Mimi siko under 18 bali nipo OVER 21 usinivunjie heshima yangu tafadhali.
Last edited by a moderator: