Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Na kwambia nilikuwa nafanya kazi ya ku REPORT POST ili mhusika mkuu aliyeniumiza zaidi kuliko wote apigwe BAN kwa mujibu wa sheria lakini wapi haikusaidia kila nikiangalia profile yake yuko online na hawajamshuhulikia .Kwa kweli humu ni mejifunza mengi sana.
Hahahahahaaaaa pole sana, nilitaka kukutetea ila nikafikiria sana, nikaona una makosa kule ndio sehemu yake sasa wewe ukaanza kuleta za kuleta duh.
Nilikuonea huruma sana. Sasa hili jukwaa lenu hapo tumiaka km .... tu ndio vimenikosesha sifa.