kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Ss wanaume tunadhalilidhwa kwa kweli yaan wanawake tumieni hii fursa kuandamana ili kuutokomeza ushoga mana idadi ya wanaume wa kuwaoa inazidi kupungua !!!!
maisha Ni kusaidiana my Karucee, naomba unipe fursa ya kukusaidia...
mtindi Ni maziwa ya mgando, napenda kuchanganya na kande...kitamu hicho!!!
Umeumia sana.pole
Mwanaume anayetumia ID ya kike namuona kama S.H.O.G.A tu.
mimi hata dhana ya id mbili siielewi, anyways ngoja nikale makande kwanza!!!
halafu, hivi mtu utajuaje kwamba fulani humu ana id ya kiume na ya kike, ilhali huyo mtu hata hujawahi kukutana naye maishani?
Mtu hamjuani kabisa, lakini bado kuna watu watakuwa na chutzpah ya kujifanya wanakujua kupitia hizi ids za humu.
Nani keshawahi kukutana na mimi humu ana kwa ana? Aliyewahi na anyooshe mkono🙂.
Marahabaaa......haya mama suala letu ndiyo hilo yeye kama mwanaume akipata hizo attention zinamsaidia nini? au yeye hiyo mitongozo ya PM anaifurahia,huyo atakuwa mwanaume kamili?shikamooni wanaume? ... naona maendeleo ya kikao ni mazuri sana. naomaba kuchangia mimi nahis wanafanya hivyo ili kupata attention tu wal si kitu kingine
..SHOGA anaetafuta mtu kinguvu.Wewe kwa mtazamo wako unalionaje,inakuaje utakapojkuta unawasiliana na mtu PM ukidhani wa kike kumbe wa kiume,utafikiria nini kuhusu huyo mwanaume?
Umesema mwenyewe View attachment 158631
na kama mkono huo au kidole hicho ujakiona haya sasa natoa vingi
View attachment 158632
sawa, wengine Ni kwa ajili ya hizi ban lakini kwani ukipigea ban huwezi kutulia mpaka ufunguliwe? Kwani humu Ni oxygen usipoipata hutaishi?? Pili, hao wenye IDs zaidi ya moja, wengi hutumia uhusika tofauti, ID moja aonekane mtu WA busara Sana, nyingine aandike -----...sielewi, kwa nini hatuwezi kuwa sisi? Mfano, humu Kuna wanaonifahamu kiuhalisia, lakini sijawahi kuogopa kuandika chochote, hata masihara nafanya bila kuogopa mtu...
Hao wanaojifanya wanawake, sina komenti aisee...kuna walakini Sana mwanaume kujifanya yeye jike!!!!
Hapana nashangaa nikiangalia post zake,mimi ananitosha Angelicious
wanaume kama mabinti!!..kwa wale wanaume wenye ID's mbili tena ya kike,.huo ni ushoga,nashukuru mungu nilizaliwa wakike,ningekuwa mwanaume ningewatawanya chamber zao!..naomba maji baridi masai dada.
Mzinga
masai dada kuna mtu ana kiu huku