masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,813 Reaction score 16,864 May 17, 2014 #241 Daudi1 said: Id nyingine alikuwa anaitwa nani? aisee mpaka naogopa watu kwenye profile za zao hawaandiki location utasikia wa hapa hapa loh Click to expand... @filter ila kapigwa ban
Daudi1 said: Id nyingine alikuwa anaitwa nani? aisee mpaka naogopa watu kwenye profile za zao hawaandiki location utasikia wa hapa hapa loh Click to expand... @filter ila kapigwa ban
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 May 17, 2014 #242 Ni aibu na ni fedheha mwanaume kujivika joho la kike. Laaana hizo na kufuru
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 May 17, 2014 #243 Mrembo mashalaah a.k.a Fiter a.k.a Aminata mrembo a.k.a Regina wa ukweli a.k.a Grace alijaaliwa.
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,307 Reaction score 3,416 May 17, 2014 #244 Ukimuona mwanaume anafanya hivyo ujeue huyo sio mwanaume wa kweli full stop.
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,001 May 17, 2014 #245 Eli79 said: teeeh, yamewahi kukutokea miss charty?? Click to expand... mhh am just say it my dia eli79!:wave:
Eli79 said: teeeh, yamewahi kukutokea miss charty?? Click to expand... mhh am just say it my dia eli79!:wave:
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,958 May 17, 2014 #246 Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 May 17, 2014 #247 Mtende said: hapana The Boss,mi nilijua wewe huwa haushiriki hayo mambo kabisaaaaa Click to expand... Ndo tuanze Sasa...
Mtende said: hapana The Boss,mi nilijua wewe huwa haushiriki hayo mambo kabisaaaaa Click to expand... Ndo tuanze Sasa...
thinky JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 2,121 Reaction score 267 May 17, 2014 #248 matumbo said: Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga. Click to expand... sisi tunalewa tu wacha waendelee masai dada letaaaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
matumbo said: Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga. Click to expand... sisi tunalewa tu wacha waendelee masai dada letaaaa
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 May 17, 2014 #249 matumbo said: Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga. Click to expand... Na mwanaume anayetetea ushoga naye ni shoga.
matumbo said: Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga. Click to expand... Na mwanaume anayetetea ushoga naye ni shoga.
Kichoi JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 212 Reaction score 87 May 17, 2014 #250 Mndengereko said: Ukimuona mwanaume anafanya hivyo ujeue huyo sio mwanaume wa kweli full stop. Click to expand... Umenena mkuu, kwa kuongezea hapo mwanaume wa kweli ni yule anaye tumia DUME
Mndengereko said: Ukimuona mwanaume anafanya hivyo ujeue huyo sio mwanaume wa kweli full stop. Click to expand... Umenena mkuu, kwa kuongezea hapo mwanaume wa kweli ni yule anaye tumia DUME
S Sasha7 JF-Expert Member Joined Apr 19, 2014 Posts 233 Reaction score 56 May 17, 2014 #251 Hao wafanyao ivyo ni mashoga tu fullstop Attachments 1400342147703.jpg 104.1 KB · Views: 135
Shamkware JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 1,755 Reaction score 2,303 May 17, 2014 #252 Deo Corleone said: Na mwanaume anayetetea ushoga naye ni shoga. Click to expand... huyo mkeo au binti yako
Deo Corleone said: Na mwanaume anayetetea ushoga naye ni shoga. Click to expand... huyo mkeo au binti yako
Somoe JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 754 Reaction score 282 May 17, 2014 #253 Ili apate marafiki wa kike na ajue mawazo yao. Na apate marafiki wa kiume ambao watamtongoza, nae atajifunza njia nzuri ya kutongoza.
Ili apate marafiki wa kike na ajue mawazo yao. Na apate marafiki wa kiume ambao watamtongoza, nae atajifunza njia nzuri ya kutongoza.
josefast JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 372 Reaction score 134 May 17, 2014 #254 hiyo njemba inayotumia id ya kike itakuwa haitumii dume......
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,839 May 18, 2014 Thread starter #255 matumbo said: Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga. Click to expand... Hakuna aliyemsema mwanaume hapa,suala lililko ni juu ya wanaume kutumia ID za kike wewe unalionaje kama mwanaume?
matumbo said: Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga. Click to expand... Hakuna aliyemsema mwanaume hapa,suala lililko ni juu ya wanaume kutumia ID za kike wewe unalionaje kama mwanaume?
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,109 Reaction score 3,054 May 18, 2014 #256 Evelyn Salt said: Kabla hujafunga hesabu naomba unisaidie na mimi Click to expand... Lete mchanganuo wako pm. Usisahau na maneno ya ushawishi.
Evelyn Salt said: Kabla hujafunga hesabu naomba unisaidie na mimi Click to expand... Lete mchanganuo wako pm. Usisahau na maneno ya ushawishi.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 May 18, 2014 #257 Ukikutana na mmasai mjini taabu kweli. Hata kama kavaa suti lazma ateme mate kinyumbani! kande zinamaliza gesi baba. Eli79 said: karibu sana miss, Mimi napenda kande za maziwa mtindi..ushawahi? Click to expand...
Ukikutana na mmasai mjini taabu kweli. Hata kama kavaa suti lazma ateme mate kinyumbani! kande zinamaliza gesi baba. Eli79 said: karibu sana miss, Mimi napenda kande za maziwa mtindi..ushawahi? Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,561 Reaction score 119,603 May 18, 2014 #258 King'asti said: Ukikutana na mmasai mjini taabu kweli. Hata kama kavaa suti lazma ateme mate kinyumbani! Kande zinamaliza gesi baba. Click to expand... tena usije kusingizia gesi, wakati mkaa umejaa mjini, kwa kande tu mikono haharibiki, lols.. upike kande mama...tule na maziwa mgando!!
King'asti said: Ukikutana na mmasai mjini taabu kweli. Hata kama kavaa suti lazma ateme mate kinyumbani! Kande zinamaliza gesi baba. Click to expand... tena usije kusingizia gesi, wakati mkaa umejaa mjini, kwa kande tu mikono haharibiki, lols.. upike kande mama...tule na maziwa mgando!!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 18, 2014 #259 miss chagga said: na mwanamke anayetumia ID ya kiume ni.......................? Click to expand... G.A.S.H.O tu
miss chagga said: na mwanamke anayetumia ID ya kiume ni.......................? Click to expand... G.A.S.H.O tu
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 May 19, 2014 #260 Daudi1 said: Mmmh! unaishi mtaa huu huu au? Click to expand... mtaa wa saba