Kikao cha wana jimbo la Iramba magharibi

Kwa mujibu wa muanzisha uzi, mpango mzima ni kesho! Naamini ipo sababu ya kuhudhuria, 'Lyamba nkulu kuliko ne Tanzania'
 
Hiki kikao hakioneshi nani kaitisha, hamna mawasiliano. au ndio sikukuu ya wajinga imebadilishwa tarehe?

" Tukiwakamata mafisadi nchi itayumba" by Pinda
 
Hiki kikao hakioneshi nani kaitisha, hamna mawasiliano. au ndio sikukuu ya wajinga imebadilishwa tarehe?

" Tukiwakamata mafisadi nchi itayumba" by Pinda FIKA MSIMBAZI CENTRE GETINI WAAMBIE WALINZI WAKUONYESHE UKUMBI MPYA SI MZAHA NA WALA SI SIKU YA WAJINGA KARIBU KWA MAENDELEO YA IRAMBA WEST
 
Napenda kuwatoa wasiwasi huu mpango wa kuwa na taasisi huru isiyo fungamana na chama chochote ulianza kabla Mwigulu hajawa mbunge hivyo karibuni Mwigulu ni mwana jimbo nae anahusika
 
Mwigulu Mchumba baada ya kusikia CDM wanahamia jimboni kwake MAVI YAMEANZA KUGONGA CHUPI, msishangae mkisikia KAJINYEA, unacheza na M4C wewe.[ Nimeshawaambi hiki kikao si cha kichama ni cha wanajimbo la Iramba west waishio dar fika bila kukosa
 
Ajenda Kuu ni jinsi M4C itakavyopita huko, kijiji kwa kjiji, mtaa kwa mtaa, kitongoji kwa kitongoji kwa Miguu
 
Ajenda Kuu ni jinsi M4C itakavyopita huko, kijiji kwa kjiji, mtaa kwa mtaa, kitongoji kwa kitongoji kwa Miguu
Mkusa, habari zinatonya kuwa hata wakiwafuata wananchi machungani kuwamwagia sera, hayo hayatawahusu mkutanoni.
 
Last edited by a moderator:
Ajenda Kuu ni jinsi M4C itakavyopita huko, kijiji kwa kjiji, mtaa kwa mtaa, kitongoji kwa kitongoji kwa Miguu[ kikao hakina uhusiano na ccm wala m4c bali ni mjadala juu ya maendeleo ya jimbo letu la Iramba magharibi kwa mfano wewe Mkusa umesoma Nangwa umerudi kinampanda hakuna kazi usinge kuwa na kakiwanda ka useremara hali ingekuaje fika bila kukosa mimi tayari nimeshafika wajumbe wanaendelea kuja
 
Waungwana wanajimbo la Iramba west muda wa kikao umewadia nipo msimbazi centre karibuni sana
 
Ukishaingia lango kuu unaenda mbele unapita maranta mbele pinda kushoto utaona geti jekundu mbele yako ingia hapo uliza ukumbi mpya utaonyeshwa karibuni sana wapenda maendeleo ya Iramba west
 
Kikao kimeisha vizuri mjadala umeenda vizuri katiba ya wana Iramba imejadiliwa imefanyiwa marekebisho tutakuwa na kikao kingine mwisho wa mwaka huu kwa wale waliokosa nafasi leo wasikose mwisho wa mwaka tarehe mtatangaziwa
 
Back
Top Bottom