Kikao cha NEC Zanzibar: Karume hataki kuongezewa muda!

Nimetaarifiwa hali ya kiusalama ni tense na tete sana anything could happen...

Well, yote haya yanatokea kwasababu za ubinafsi na uchoyo wa viongozi wetu wakuu wa bara na visiwani.

Haya yanatokea coz viongozi wetu hata watoe maamuzi mabaya na machafu ya wazi hakuna wa kuwakemea. Staili zao za kuongoza kibabe kwa kutumia itikadi za kinafiki ndani ya CCM zinatufikisha tulipo. Watu wachache sana wanaingia madarakani with merits coz of their BRAIN POWER lakini majority ni kwa know who na kujikomba.

Naomba tujadili hivi faida za muungano kwa sasa na miaka 50 ijayo ni zipi na kwa watu gani?

Je muungano ukivunjia kesho hasara zake ni zipi?

What is the weighted average of the pros and cons should the Union breakup?
Is it a win win or who is the looser?
 
- Well wakuu wote heshima mbele sana, leo nimegusa pabaya sana na hizi dataz sasa ninahitaji ku-cool down ikiwa ni pamoja na kuzima simu zangu, mtandao wangu tayari umezimwa na wenye nguvu, sasa niko kwa jirani!

- Samahani kwamba kwa leo siwezi kumwaga tena, mpaka upepo utakapotulia!

Respect.

FMEs!
 
Shukran FMES,Ukipata wasaa na mambo yakisha "Cool down" basi usisite kutumwagia data hapa mkuu.

Mnyoofu said:
Nimetaarifiwa hali ya kiusalama ni tense na tete sana anything could happen...
Mnyoofu,hali ya kiusalama uko Zanzibar ama Dar?
 
- Well wakuu wote heshima mbele sana, leo nimegusa pabaya sana na hizi dataz sasa ninahitaji ku-cool down ikiwa ni pamoja na kuzima simu zangu, mtandao wangu tayari umezimwa na wenye nguvu, sasa niko kwa jirani!

- Samahani kwamba kwa leo siwezi kumwaga tena, mpaka upepo utakapotulia!

Respect.

FMEs!
Pole mkuu FMEs, kazi zinazohusiana na utafutaji na utoaji wa habari wakati mwingine hufanana na kazi za kijeshi na hivyo zina risk zake, ndio maana kuna msemo "Information is power although sometimes is dangerous to handle"

Naamini hutokata tamaa kwani kupata habari ni haki ya kikatiba.
 
Hivi huyu JK anajua Power iliyopo kwenye institution ya PRESIDENT na CHAIRMAN wa CCM???

Is he serious?? Yaani kuna neno linaitwa TURUFU, anajua maana yake??

NEC na CC ni vikao vya juu mno vya chama, sasa hivi vikao vikiitishwa vinakuwa na TURUFU, means hakuna excuse inayoweza kuvizidi nguvu hivi vikao, kwa hiyo kama kuna kazi nyingine ndio zinakuwa cancelled na sio kucancel vikao ambavyo vina hiyo TURUFU>

Ama kweli huyu mkwere hoi na asipoangalia hawa watu wenye nguvu watamuondoa yeye wakati yeye anachekacheka kuwaondoa sasa hivi.
 
Dah! Watu walisha nawa na kukaa mkao wa kula mara ghafla... sahani hizooo zimiondolewa... Haya bana si twasubiri japo matumbo yaunguruma kwa hamu...!
 
SHINIKIZO lililokuwa likitolewa na Chama cha Wananchi (CUF), kutaka Katiba ya Zanzibar ivunjwe ili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Amani Abeid Karume aongezewe muda wa kuongoza limegonga ukuta baada ya Rais Karume kuikataa hoja hiyo na kuwasihi Wazanzibari wote kumuunga mkono katika hilo.

Aidha shinikizo lingine la kutaka kuundwe kwa serikali ya mseto Zanzibar limekubaliwa, lakini limetakiwa kufuata azimio la Butiama la kutaka uamuzi huo ufanyike baada ya kuamuliwa na Wazanzibari wenyewe kupitia kura ya maoni.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Salehe Ramadhan Ferouz, alitoa msimamo huo jana baada ya kumalizika kwa kikao cha wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Zanzibar kilichojadili hoja kubwa tatu zinazohusu mustakabali wa Zanzibar kilichokuwa chini ya uenyekiti wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Karume.

Katika ajenda ya kwanza ya kikao hicho ambacho pia kilihudhuriwa na Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Dk. Ali Mohamed Shein, Rais Karume alitakiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu yaliyozungumzwa katika kikao chake na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

Katika majadiliano hayo, Rais Karume aliweka bayana kuwa Seif ndiye aliyemfuata kutaka mazungumzo naye na walizungumza masuala ya kujenga umoja wa Wazanzibari, kuacha siasa za chuki na kujenga Zanzibar mpya ambapo wajumbe walipokea vyema taarifa hiyo.

Ajenda ya pili ya kikao hicho kilichoanza saa nane mchana na kukamilika saa moja usiku, ilihusu zilizoitwa kuwa ni tetesi za kutaka Katiba ya Zanzibar ivunjwe ili Rais Karume aongezewe muda wa kuongoza baada ya kumalizika kwa kipindi chake cha pili cha uongozi ambacho kwa mujibu wa katiba hiyo, alitakiwa kupumzika.

Rais Karume alisisitiza wakati wa kujadili ajenda hiyo kuwa msimamo wake ni kama alivyoutangaza wakati wa sherehe za miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuweka msisitizo kuwa hataki kuongezwa hata siku moja.

Aidha Karume aliwasihi Wazanzibari wote ambao walikuwa wakishinikizwa na kushawishiwa na CUF kupitia makongamano na maandamano, kumuelewa kuwa asingependelea kuongezewa hata siku moja ya Urais baada ya muda wake kikatiba kumalizika.

Ajenda ya tatu ambayo imeelezwa kuwa ilichukua muda mrefu kidogo, ni iliyohusu kuundwa kwa Serikali ya mseto. Katika kujadili ajenda hiyo, wajumbe walikubaliana kutoingia kwa undani zaidi kuwa kambi ya upinzani inaiandaa kwa ajili ya kuifikisha katika Baraza la Wawakilishi ili ijadiliwe kwa kina.

Hata hivyo, ilibidi wakumbushiane maazimio ya mkutano wa NEC ya CCM uliofanyika Butiama mwaka 2008 ambayo yalitaka wananchi wa Zanzibar waamue kuhusu uundwaji wa serikali hiyo kupitia kura za maoni jambo ambalo pia lilikubaliwa.
 
karume%26shein.JPG
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar, Amani Abeid Karume na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dk. Ali Mohamed Shein wakipiti makabrasha ya ajenda mbalimbali, kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika CCM Kisiwandui mjini Zanzibar jana. (Picha na Amour Nassor)

Picha kwa hisani ya Father Kidevu.
 
SHINIKIZO lililokuwa likitolewa na Chama cha Wananchi (CUF), kutaka Katiba ya Zanzibar ivunjwe ili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Amani Abeid Karume aongezewe muda wa kuongoza limegonga ukuta baada ya Rais Karume kuikataa hoja hiyo na kuwasihi Wazanzibari wote kumuunga mkono katika hilo.

Aidha shinikizo lingine la kutaka kuundwe kwa serikali ya mseto Zanzibar limekubaliwa, lakini limetakiwa kufuata azimio la Butiama la kutaka uamuzi huo ufanyike baada ya kuamuliwa na Wazanzibari wenyewe kupitia kura ya maoni.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Salehe Ramadhan Ferouz, alitoa msimamo huo jana baada ya kumalizika kwa kikao cha wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Zanzibar kilichojadili hoja kubwa tatu zinazohusu mustakabali wa Zanzibar kilichokuwa chini ya uenyekiti wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Karume.

Katika ajenda ya kwanza ya kikao hicho ambacho pia kilihudhuriwa na Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Dk. Ali Mohamed Shein, Rais Karume alitakiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu yaliyozungumzwa katika kikao chake na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

Katika majadiliano hayo, Rais Karume aliweka bayana kuwa Seif ndiye aliyemfuata kutaka mazungumzo naye na walizungumza masuala ya kujenga umoja wa Wazanzibari, kuacha siasa za chuki na kujenga Zanzibar mpya ambapo wajumbe walipokea vyema taarifa hiyo.

Ajenda ya pili ya kikao hicho kilichoanza saa nane mchana na kukamilika saa moja usiku, ilihusu zilizoitwa kuwa ni tetesi za kutaka Katiba ya Zanzibar ivunjwe ili Rais Karume aongezewe muda wa kuongoza baada ya kumalizika kwa kipindi chake cha pili cha uongozi ambacho kwa mujibu wa katiba hiyo, alitakiwa kupumzika.

Rais Karume alisisitiza wakati wa kujadili ajenda hiyo kuwa msimamo wake ni kama alivyoutangaza wakati wa sherehe za miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuweka msisitizo kuwa hataki kuongezwa hata siku moja.

Aidha Karume aliwasihi Wazanzibari wote ambao walikuwa wakishinikizwa na kushawishiwa na CUF kupitia makongamano na maandamano, kumuelewa kuwa asingependelea kuongezewa hata siku moja ya Urais baada ya muda wake kikatiba kumalizika.

Ajenda ya tatu ambayo imeelezwa kuwa ilichukua muda mrefu kidogo, ni iliyohusu kuundwa kwa Serikali ya mseto. Katika kujadili ajenda hiyo, wajumbe walikubaliana kutoingia kwa undani zaidi kuwa kambi ya upinzani inaiandaa kwa ajili ya kuifikisha katika Baraza la Wawakilishi ili ijadiliwe kwa kina.

Hata hivyo, ilibidi wakumbushiane maazimio ya mkutano wa NEC ya CCM uliofanyika Butiama mwaka 2008 ambayo yalitaka wananchi wa Zanzibar waamue kuhusu uundwaji wa serikali hiyo kupitia kura za maoni jambo ambalo pia lilikubaliwa.

Sawa sawa This is good if it is true na imetokea katika verifiable source mkubwa
 
Hapa kuna possibilities mbili.

(a) Karume anaweza kuwa hasemi ukweli wote: Kwa kujua kuwa CCM haina ubavu wa kumzuia kufanya analotaka kufanya, kwa hiyo anawaambia lile wanalotaka kusikia huku akijua plan yake kamili itakuwaje.

(b) Karume alilosema ndilo sahihi kabisa,: Hamad alijua kuwa hawezi tena kushinda uchaguzi na hivyo akajikomba kwa Karume amnusuru kwa kumpa cheo katika serikali ya mseto. Karume akamjibu kuwa yeye anamaliza muda wake wa urais, Hamad akasema nitakupigia debe uongezewe muda. Karum,e aksema haya jaribu, Hamad akaanza kwa kutoa kelele za juu sana, kila mtu akazisikia na hata CCM yenyewe ikachanganyikiwa.
 
- We are baaaaaack!, ndani ya ndege aliyokuwemo Msekwa, walikuwemo pia Mwinyi na Shein ambao nao pia walipelekwa kwenye kikao, hivi kweli ulitegemea nini kutoka kwa hawa wasanii kina Karume and the gang! Haya mambo ni mazito sana, I hope Muungwana amepata message!

- Sasa dawa kikao kijacho cha CC, kifanyikie huko huko Visiwani tuone huu usanii wa hawa kina Karume! Halafu mbona hawasemi kuhusu kikao cha CC kilichopangwa hapa Dar?

- Na kesho tutaendelea na dataz za yaliyojiri kama kawa!

Respect.

FMEs!
 
Watu bana utawafahamu nia zao mbaya!
1. Muungano siyo baba wala mama yake Kikwete ukivunjika utakuwa muda wake umefika wacha uvunjike hakuna uhusiano na utendaji wake wa kazi..mlitaka aamuru watu kuua raia kama nyerere na mkapa walivyofanya to hell ...kwanza muungano wenyewe siri siri upuuzi mtupu

2. Wazanzibar Waachwe kama hataki muungano tutakuta EAC au kwingine...wote mnaotetea na kumlaumu kikwete mna mawazo ya kikoloni koloni...mnang'ang'ania muungano huku mnawadharau wazenj shame on you

3. Muungano siyo sababu ya JK kuchaguliwa, alichaguliwa ahudumie wa Tanzania barabara, shule etc...msitafute scapegoat ya kumlaumu Muungwana..wacha na wazenj wapate amani bana.

kwani huyo kilaza kikwete aligombea urais wa Tanganyika au Tanzania???

hakuna excuse hapo.....au tuseme wapinga muungano walimpandikiza ili akiwa rais auvunje.....unajuwa namna ambavyo rais wa zamani wa urusi MIKHAEL GORBACHOV anavyonuka mavi na kukosa kuheshimika hata leo....ndiyo LEGACY atakayoiacha kikwete .....kwa vizazi vijavyo.......

no excuses for failuires!!! jk is a failure!! BIG TIME!!
 
SHINIKIZO lililokuwa likitolewa na Chama cha Wananchi (CUF), kutaka Katiba ya Zanzibar ivunjwe ili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Amani Abeid Karume aongezewe muda wa kuongoza limegonga ukuta baada ya Rais Karume kuikataa hoja hiyo na kuwasihi Wazanzibari wote kumuunga mkono katika hilo.

Aidha shinikizo lingine la kutaka kuundwe kwa serikali ya mseto Zanzibar limekubaliwa, lakini limetakiwa kufuata azimio la Butiama la kutaka uamuzi huo ufanyike baada ya kuamuliwa na Wazanzibari wenyewe kupitia kura ya maoni.

Ninavyoona mimi akina Msekwa na Mwinyi ndio waliogonga mwamba maana Karume karudia maneno yaleyale aliyosema hawezi kuvunja katiba sasa wao walitegemea aseme anataka kipindi kingine hata akiwa mjinga kiasi gani hawezi kusema kitu kama hicho amefanya hivi ili kuwaridhisha kiutu uzima waondoke mambo yaendelee kama yalivyopangwa.

Kina Msekwa pia wameshindwa kuzuia uungwaji mkono wa serikali ya mseto Zanzibar ambayo ndiyo iko kwenye hoja binafsi ya kiongozi wa upinzani na vile vile wameshindwa kuzuia isijadiliwe barazani kitu ambacho CCM bara walikuwa wame-plan.

Wao wasubiri wiki ijayo moto wa gesi na mafuta utakapoanza kuwaka na mseto itakapojadiliwa barazani mimi nawashauri warudi nyumbani moto wa gesi ni mbaya sana usije ukawaunguza wawaachie wazanzibar waamue mambo yao wenyewe.
 
Hivi kuna haja gani ya kuonea huruma au kuomba huu mtafuruku wa CCM eti uishe salama?

CCM haina manufaa kwa Watanzania na pamoja na kuwa ugomvi wao utatuumiza, safari hii wacha tuumie tujifunze nao CCM wasambaratishane TUANZE UPYA!
 
01_10_ex1ufn.jpg

MEMBERS of the Zanzibar Special Committee of the CCM National Executive Committee (NEC), go through items on the egenda for its meeting held at the Kisiwandui CCM sub-head office in Zanzibar on 24th January 2010.
 
- We are baaaaaack!, ndani ya ndege aliyokuwemo Msekwa, walikuwemo pia Mwinyi na Shein ambao nao pia walipelekwa kwenye kikao, hivi kweli ulitegemea nini kutoka kwa hawa wasanii kina Karume and the gang! Haya mambo ni mazito sana, I hope Muungwana amepata message!

Respect.

FMEs!

Ndio maana mimi nawashangaa watu wanaofikiria kuwa huu Muungano ni wa kuchezea kama wanavyotaka. Eti kuna watu hapa hata hawajui kuwa ni weakness ya Mkulu inayowapa jeuri ya kutamka hayo wanayoyatamka, vinginevyo thubutu ! Amekaa kama mtazamaji huku nchi ikisambaratishwa na watu ambao hawaelewi hata kidogo sababu za mapinduzi ya mwaka 1964, inasikitisha. Lakini sasa wanaume wamesema basi - imetosha. Watu wote makini hawawezi kutoa madai ya kipuuzi kama yanayotolewa hivi sasa huko visiwani, katiba ya Muungano sasa itumike kuwashughulikia.
 
Hivi kuna haja gani ya kuonea huruma au kuomba huu mtafuruku wa CCM eti uishe salama?

CCM haina manufaa kwa Watanzania na pamoja na kuwa ugomvi wao utatuumiza, safari hii wacha tuumie tujifunze nao CCM wasambaratishane TUANZE UPYA!

Rev, Unajua huu Muungano ni sawa mgonjwa anayeumwa lakini akaamua kuuficha ugonjwa badala ya kutafuta madaktari ili autibu ugonjwa aliokuwa nao. Matatizo ya Muungano yamekuwepo miaka chungu nzima lakini hakukuwa na hatua madhubuti za kuyashughulikia matatizo mbali mbali ya Muungano huu bali kulikuwa na jitihada za kuyaficha matatizo hayo na kutaka kuonyesha kila kitu ndani ya Muungano ni shwari kabisa.

Sasa ugonjwa umejitokeza na mgonjwa hawezi kuuficha tena ama aache umuue au atafute wa kumtibu haraka sana. Kikwete kwa maoni yangu kama daktari hana ubavu wa kuwashinda hawa Wazanzibar kama wakiamua kufanya lolote wanalotaka ili kuuvunja Muungano na kama akiamua kutumia jeshi basi kunaweza kabisa kuweko kwa umwagaji wa damu.
 
Hivi hoja ya mgombea binafsi imefikia wapi? Ninadhani kuna haja ya kufuta vyama vya siasa na kuanza siasa za mtu mmoja mmoja tu hadi kila mtu akomae kisiasa na kimaadili individually ndipo tujiunge katika vyama. Kila mtu awe apimwe katika malengo mawili tu: (a) kuboresha na kulinda Katiba ya nchi, na (b) kuhudumia wananchi waliomchagua kulingana na alivyoahidi. Hii longolongo ya ILANI ya CHAMA ni upuuzi mtupu unaosababisha viongozi walindane kwa ajili ya kusevu image ya CHAMA chao.
 
kumekucha NA MAKUCHA YAKE!......waiache zanzibar na wazanzibari wale maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom