Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,577
- 19,460
Aliyekwambia mimi mzanzibar nani?
Unaweka nia yangu kuwa ni kuwatukana watanganyika "wewe unasoma vipi nakuja nia za kila bandiko" umekuwa yahaya eh
Mimi naona wa Tanganyika hawajui adui wao kwamba ni viongozi wao walio na mamlaka ya kijeshi, dola, sheria wanahangaika na wafanyabiashara kina RA hii ni missconception! na wasomi wengi humo JF wanasupport emotionally kwasababu zao za upofu, wivu, ujinga, maradhi na chuki damn! wako nje ya root cause of the problem
(1) Samahani sana kama nimekuelewa vibaya ila post zako zimekuwa zinaashiria imani yangu hiyo ya Uzenji.
(2) Nakubaliana nawe kabisa kwa mtazamo huo kuhusu uzembe wa viongozi wetu wa Tanganyika; 100%