Lowassa ni Chaguo la Mungu
Lowassa ni Chaguo la Mungu
aliwadokeza pia kwamba ameliuza kwa miaka 99? , kwanza lowasa alifanya hivyo kama nani pale UVCCM ?Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}
Mjomba mbona unalazimisha kupigwa laana bila sababu , huku ukijua kwamba maandiko matakatifu yanakukataza ' USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO 'Lowassa ni Chaguo la Mungu
Nasikia baada ya miaka 99.
Vp kuhusu apartments zilizouzwa nazo zitarudishwa kwa asilimia 100?
Mkuu Consigliere, thanks muni mention saa hizi ndio naiona hii thread!.Mbona sioni LIKE ya Pasco the liker, the likes giver?
Huyu jamaa jadi yake ni kubuni mambo makubwa!
Mnuka njaa Kama wewe dadangu utamwonea wapi??
Utaishia kuwapata hao hao wakimboka
Nape aliuponda sana huu mradi.atakuwa anaona aibu sana aisee!
Daima Lowassa atakumbukwa kwa mengi
Majungu ya kufatilia Lowassa kaenda wapi, watabaki hapo hapo huku nyota inazidi kungaa, watabaki hapo hapo wakati kura zinazidi kuongezeka, watabaki hapo hapo wakati wajumbe wanazidi kumwagika, watabaki hapo hapo wakati mzee wa kusema na kutenda anazidi kuchanja mbuga, watabaki hapo hapo wakati record za nyuma zinambeba jamaa, watabaki hapo hapo wakati maono ya lowassa katika elimu, kilimo, ajira kwa vijana, na kusaidia wakina mama ikizidi kusisimua wananchi, watabaki hapo hapo wakati ukweli wa richmond unazidi kujilikana kuwa ni majungu ya Membe, Sita na MwAKYEMBE, watabaki hapo hapo huku wananchi wanataka rais ajaye awe mtendaji na mtu wa maamuzi